Hivi mtu akisema, "Mimi kama...", anamaanisha nini? Basi mzee mwenzenu yamenikuta πŸ€”

Kule Kenya ukifanya kosa unaishia kwenye gereza la Shimo la Tewa.

"...wake za watu hutongoza imejulikanaaa, jihadhari utaishiaaa, Shimo la Tewa...", Samba Mapangala (Dunia tunapita).

Cc Monetary doctor.
Nimetuma wakusalimie
Barua pia nimetuma usome,
Nikiwa nikitembea aah mara kwa mara hukumbuka mapenzi yetu vipi marina,

Marina umebakia kuchunga mapenzi yetu kwa simu tutaongea,

Mapenzi ya simu sitaweza kama hunipendi unambie,

Mimi ni mrembo bado sitangoja

Mapenzi haichagui kabila

Siku hz muzungu muchaina huoana mjapaniziii mwafrika vilevile mie marina aaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…