secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #41
Endelea na verse nyingine mkuu. Umenifanya nimwage machozi aisee!Nimetuma wakusalimie
Barua pia nimetuma usome,
Nikiwa nikitembea aah mara kwa mara hukumbuka mapenzi yetu vipi marina,
Marina umebakia kuchunga mapenzi yetu kwa simu tutaongea,
Mapenzi ya simu sitaweza kama hunipendi unambie,
Mimi ni mrembo bado sitangoja
Mapenzi haichagui kabila
Siku hz muzungu muchaina huoana mjapaniziii mwafrika vilevile mie marina aaaah
Haaahaa πMm sio supapawa ni monetary daktaree ππ
Kiswahili kigumu kuzidi Lugha ya AlamaMimi kama... π€
Nilimchukia baba yangu baada ya kuniambia, "Mimi kama baba yako nina wajibu wa kukupa adhabu ukikosea...", mimi nikadhani labda yeye si baba yangu wa kweli.
Leo asubuhi, baada ya simu yangu kulia kwa sauti ya juu kanisani, "mchungaji aliniambia, Mimi kama mchungaji toka kanisani...", mimi nikagoma nikidhani labda yeye si mchungaji kweli, amesimama tu pale mbele ya kanisa (kumbuka hapa niko ugenini, hapa Sumbawanga).
Neno 'kama' linanichanganganya sana wakuu hasa mtu anaposema, "Mimi kama mwanamke", au "mimi kama mwanaume". Mi naona bora mtu aseme, Mimi mchungaji wako, Mimi mwanaume n.k.
Kabisa!Kiswahili kigumu kuzidi Lugha ya Alama
HujiaminiMimi kama Mimi π
We matako wazi naona umepokea mshahara umenimiss sasa sioπMimi kama mume wa mwendawazimu
Labda kama unazungumzia mshahara wa dhambiWe matako wazi naona umepokea mshahara umenimiss sasa sioπ
Hahaha πHujiamini
Mshahara wa dhambi ni mauti, vipi umeshaupata?Labda kama unazungumzia mshahara wa dhambi
Niko fresh bruh, ndiyo navuka hapaHaaahaa π
Kaka upo poaa
Unavuka nini?Niko fresh bruh, ndiyo navuka hapa
Uzuri wa mwanamke sii urembo ni tabia aaahEndelea na verse nyingine mkuu. Umenifanya nimwage machozi aisee!
Maji kwa panton naelekea KigamboniUnavuka nini?
Vitu gani mm sio superpawa ama nakosea mm ni monetary doctor au nakosea mbamizwa ndege πVitu vimeshapanda kichwani π
Nshaupata, njoo tule wote mshahara wangu πMshahara wa dhambi ni mauti, vipi umeshaupata?
Sawa hamdala kiuno nakujaNshaupata, njoo tule wote mshahara wangu π
Kigamboni ninoNiko fresh bruh, ndiyo navuka hapa
Samba Mapangala ni mtu haswa!Uzuri wa mwanamke sii urembo ni tabia aaah
Uzuri wa mwanamke sii urembo ni tabia aaah
By samba mapangala nyimbo MARINA
DEDICATION TO MY FIRST BORN MARINA I LOVE HER.... cc secretarybird Seran @mahondaw.@shesrise_1