secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #61
Dokta ameshalewa ujue.Vitu gani mm sio superpawa ama nakosea mm ni monetary doctor au nakosea mbamizwa ndege π
Sijanywa pombe Huwa nawa enjoy tuu koma naukomae
Abedo shuba ubada ππ
Mbona tunajua mkuu.Dah , watanzania nawaonea huruma , yaani hamjui lipi ni lipi ,mpo mpo tu
Ulibubujikwa na machozi atiiSamba Mapangala ni mtu haswa!
Sana tu!Ulibubujikwa na machozi atii
Eeeh bruhKigamboni nino
Hiyo avatar ulitoa wapiSana tu!
Hata sikumbuki niliitoa wapi.Hiyo avatar ulitoa wapi
Nikuwa navuka maji dearest sisUnavuka nini?
Sisi kama watekajiNi siasa tuu zimeharibu watu! Sisi kama serikali, sisi kama chama, sisi kama watendaji n.k
Maji gani?Nikuwa navuka maji dearest sis
Naishi KigamboniMaji gani?
Ooh ndio nyie matajiri nasikiaNaishi Kigamboni
KumekuchaaaaEeeh bruh
Ndiyo bruh... Vip khaliKumekuchaaaa
Tunasukuma gurudumu kakaNdiyo bruh... Vip khali
Kupambana muhimuTunasukuma gurudumu kaka