Hivi mtu akisema una mashavu mtoto mzuri anakuwa anamaanisha nini, kwenye mapenzi??

Hivi mtu akisema una mashavu mtoto mzuri anakuwa anamaanisha nini, kwenye mapenzi??

Hii kazi ukutane nayo halafu na wewe una mguu wa mtoto wa miaka mitano..
Oya oya oya!! Mtagandana mpaka sub zinazosubiri nafasi zitahamia timu nyingine maana zitasugua benchi sana..
DU
 
Unaguna nini wakati umesema mwenyewe una bonge la kifusi hapo kati
Na raha ya pele kama hilo likutane jikucha gumu lidobolewe mpaka mwenye pele lake uweke macho kimapiano..
Kazi kweli kweli..
 
Back
Top Bottom