Hivi mtu anakuwa katika hali gani ya akili hadi anakubali kuolewa mke wa tatu, wa nne nk?

sometimes ni ugumu tuu wa maisha, unapelekea mtu akubali kuolewa bila kupenda wengine hata wao hawana furaha katika ndoa
Kama vile dada zetu wanaojiuza baadhi yao wanatamani watoke katika game ila ndio hivyo life
 
Huyo jamaa hana akili na limbukeni ,wanawake wanatongozwa na wanaume za watu na bado wanakubali tena sana ..Mwanamke anaweza kuolewa hata mke wa 6 kiasili unless anapata kila kitu..


Huyo jamaa atakuwa hanithi ,wanawake wameweza hivyo karne kwa karne ,huko kwa wamasai wakuwa mpaka 10 kwa mume mmoja ila bado wanaishi vizuri.
 
Ndio akili za wagalatia hizo usishangae,,kwao bora vimada kuliko ndoa
 
Baadhi ni njaa tu, Kuna kibinti kime olewa na mzee mmoja wa mtaani kwetu yaani hata 19 hakija fika.
tena mke wa nne.

Mzee huyo ni rafiki Sasa huwa namuuliza hicho nacho Cha Nini?, ana sema kina mkumbusha enzi za kucheza kombolela😆😂
Msio na nguvu za kiume mna chuki marijali tukiwasitiri wanawake
 
Mwanamke akishavuka miaka 25 na hajaolewa anaanza kupata Hallucination , anachanganyikiwa anaanza kujinunulia Pete na kupost WhatsApp status kuringishia wenzake mume hewa, hapo sasa ukimwambia hata unataka kumuoa mke wa 11 kama unasajili kikosi cha utopolo yuko tayari
 
Kwa nini pamoja na ndoa za wake wengi bado single mothers ni wengi tu mtaani??
 
Solomon na yule aliyeowa mtu na dada yake unadhani wake zao ni mataahira?
kwani we mwanamke wa wapi?
 
Kama unauwezo wastiri wanawake Kwa wale waislam ni ruksa wakristo uchague wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…