Hivi mtu anaponyoa kiduku huwa anatafuta nini hasa? Ni tatizo la kisaikolojia?

Hivi mtu anaponyoa kiduku huwa anatafuta nini hasa? Ni tatizo la kisaikolojia?

Picha ya hicho kiduku please, wengine bila picha hatuelewi somo..

Pia usisahau picha ya kipara chako/ afro, dreadlocks whatever na sie tukuthaminishe.
Isije kuwa anachanganya kati ya hizo hapo kazi mbili View attachment 1561282
21-32-03-83543828_106453594145656_4421078845981056356_n.jpg
 
Unaweza kuta wewe ndie mwenye tatizo la kisaikolojia juu ya kiduku
 
Frankly speaking, mimi hata nikaibiwa kitu mahali, mtu wa kwanza kumuhisi atakuwa ni mtu yeyote alienyoa kiduku, regardless amevaa vizuri vipi.

Shida ni nini hasa?
ndivyo tulivokua tunanyoa hivyo kabla ya ukoloni. Kuna kitabu cha wamishenari kina picha za wa afrika kabla ya ukoloni na ndivyo wazee wetu walikua wananyoa hivyo. Walivyokuja wakolonj nasisi tukabadilisha mnyoo. Tukaanza kufuga nywele na kuzinyoa kwa usawa.
 
Frankly speaking, mimi hata nikaibiwa kitu mahali, mtu wa kwanza kumuhisi atakuwa ni mtu yeyote alienyoa kiduku, regardless amevaa vizuri vipi.

Shida ni nini hasa?
kiduku kote uko, ushangai mtu dume linauza tako, linaweka maziwa,hushangai!
 
Back
Top Bottom