mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mimi huwa najiuliza kwanini mzazi asijinyoe kiduku mwenyewe anakuja kumnyoa mtoto asiye maamuzi?Frankly speaking, mimi hata nikaibiwa kitu mahali, mtu wa kwanza kumuhisi atakuwa ni mtu yeyote alienyoa kiduku, regardless amevaa vizuri vipi.
Shida ni nini hasa?