Hivi mtu anaponyoa kiduku huwa anatafuta nini hasa? Ni tatizo la kisaikolojia?

Unaweza kuta wewe ndie mwenye tatizo la kisaikolojia juu ya kiduku
 
Frankly speaking, mimi hata nikaibiwa kitu mahali, mtu wa kwanza kumuhisi atakuwa ni mtu yeyote alienyoa kiduku, regardless amevaa vizuri vipi.

Shida ni nini hasa?
ndivyo tulivokua tunanyoa hivyo kabla ya ukoloni. Kuna kitabu cha wamishenari kina picha za wa afrika kabla ya ukoloni na ndivyo wazee wetu walikua wananyoa hivyo. Walivyokuja wakolonj nasisi tukabadilisha mnyoo. Tukaanza kufuga nywele na kuzinyoa kwa usawa.
 
Frankly speaking, mimi hata nikaibiwa kitu mahali, mtu wa kwanza kumuhisi atakuwa ni mtu yeyote alienyoa kiduku, regardless amevaa vizuri vipi.

Shida ni nini hasa?
kiduku kote uko, ushangai mtu dume linauza tako, linaweka maziwa,hushangai!
 
Bintiyo au dadako akipigwa mimba na jamaa hawa utawaheshimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…