Hivi mtu anaponyoa kiduku huwa anatafuta nini hasa? Ni tatizo la kisaikolojia?

Bora huyo wa kiduku,cjui anaevaa suruali chini ya makalio anawaza nn mm sielewagi
 
 
Unamjua Kim jog un mnyoa kiduku mkuu ukimsachi anamaremote control ya makombora af ndo umkute hana tekno yako atakutafutia na kukutumia kabom kadogo udill nako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…