Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Power safe ndyo nn mkuu??Ale power safe 5 atakuwa sawa
Hee ndyo nini tena iyo?Ulifanya urine culture? tuanzie hapo
unachkua mkojo unaupanda ( culture sijui kiswahili kizuri ni kipi) kwenye maabara ili bacteria wakue technologist aweze kuwahesabu. anawez akakuta 500, 50, 1000 bacteria say kwenye mililitre of urine so calcured. Sasa sijui kama ulifanya hiyo test. najaribu kuwaza...Hee ndyo nini tena iyo?
Sio oyo. Ni kuwa tulpeleka tu mkojo ndani ya dakika 10 tukpewa majibuunachkua mkojo unaupanda ( culture sijui kiswahili kizuri ni kipi) kwenye maabara ili bacteria wakue technologist aweze kuwahesabu. anawez akakuta 500, 50, 1000 bacteria say kwenye mililitre of urine so calcured. Sasa sijui kama ulifanya hiyo test. najaribu kuwaza...
Hapo hakuna culture, sijui 500 inatoka wapi. Ngoja wataalamu waje!Sio oyo. Ni kuwa tulpeleka tu mkojo ndani ya dakika 10 tukpewa majibu
Leo nimempeleka mke wangu maabara baada ya kusumbuliwa na tumbo muda mrefu.
Tulifanya vipimo mbali mbali ikiwemo cha UTI. Tukapewa majibu kuwa ana UTI nyingi sana yaani zaidi ya 500.
Na daktari akatuambia ya kawaida huwa ni chini ya 8. Akatushauri achome sindano ambazo ni 5000 kila moja kwa siku 5.
Binafsi sikuamini nikampeleka maabara nyingine tuhakikishe maana hawa madaktari wa mitaani huwa wapo kibiashara zaidi. Napo tulipopima tukaambiwa ni nyingi sana hadi haihesabiki.
Kusema ukweli leo ndiyo nimesikia UTI zaid ya 500 na mtu anatembea kawaida tu.
Je, kuna waliowahi pata UTI ya kiasi hicho na walitumia dawa gani kupona???
Hiyo yako ilikuwa Gono mkuu ndo maana dr alikwambia una hatari.Kaka kuhusu u.t.i. naijua vizuri mimi nilifikisha 1000 daah yaani nilikua nashindwa ata kuzuia mkojo alafu pale mbele kuna toa kama usaha DR akanambia una hatari wewe
Mkuu dawa ya UTI ni vidonge vya Antibiotics kama,Ciprofloxacin ,Ampiclox,Penicillin, (PPF)Leo nimempeleka mke wangu maabara baada ya kusumbuliwa na tumbo muda mrefu.
Tulifanya vipimo mbali mbali ikiwemo cha UTI. Tukapewa majibu kuwa ana UTI nyingi sana yaani zaidi ya 500.
Na daktari akatuambia ya kawaida huwa ni chini ya 8. Akatushauri achome sindano ambazo ni 5000 kila moja kwa siku 5.
Binafsi sikuamini nikampeleka maabara nyingine tuhakikishe maana hawa madaktari wa mitaani huwa wapo kibiashara zaidi. Napo tulipopima tukaambiwa ni nyingi sana hadi haihesabiki.
Kusema ukweli leo ndiyo nimesikia UTI zaid ya 500 na mtu anatembea kawaida tu.
Je, kuna waliowahi pata UTI ya kiasi hicho na walitumia dawa gani kupona???
akipima urine analysis /culture WANAWEZA KUMDANGANYA TU tazama,mtu anapima HVS halafu majibu yanakuja "PLANO REACTIVE"Ulifanya urine culture? tuanzie hapo
Dawa nzuri kwa UTI ni LEVOZ aisee lakini kuna jamaa yangu aliumwaga UTI,dawa za hospital hazikumsaidia akaenda hadi kwa masangoma wakampiga hela kwa madai ya kurogwa lakini mwishoni akaenda kwa mganga mmoja akamwambia hujapigwa juju wala nini akamuelekeza akatumie aloe vela
Hali ya mshkaji kwa sasa shwari kabisa