Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Leo nimempeleka mke wangu maabara baada ya kusumbuliwa na tumbo muda mrefu.
Tulifanya vipimo mbali mbali ikiwemo cha UTI. Tukapewa majibu kuwa ana UTI nyingi sana yaani zaidi ya 500.
Na daktari akatuambia ya kawaida huwa ni chini ya 8. Akatushauri achome sindano ambazo ni 5000 kila moja kwa siku 5.
Binafsi sikuamini nikampeleka maabara nyingine tuhakikishe maana hawa madaktari wa mitaani huwa wapo kibiashara zaidi. Napo tulipopima tukaambiwa ni nyingi sana hadi haihesabiki.
Kusema ukweli leo ndiyo nimesikia UTI zaid ya 500 na mtu anatembea kawaida tu.
Je, kuna waliowahi pata UTI ya kiasi hicho na walitumia dawa gani kupona???