Kwani kulikuwa na Maswali pale au kulikuwa mwongozo wa namna ya kuongea?Nawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile
Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi tunatembeleana, tumepeana mashamba na hata viwanja tumepeana
Mtu anayasema hayo, Wakati hajaulizwa swali la Aina hiyo, hii kitu huwa INA maana gani??
Mkuu, we Acha tu, lkn nahisi Ukikaa ukapekecha kichwa, utaelewa tu, ngoja watalamu waje watufafanulie hili tatizo la watu wa sampuli hii
kucha tu?Angehoji pia Nani aliyemtoa kucha Dr.ulimboka siyo?
Mnaupeo finyu Sana na bifu za kijinga kwa mtu aliyeamua kufanyia kazi mloyasema na kuyahitaji yafanywe miaka hyo
yaani hapa wasimguse kabisa Mzee wa Msoga, hawaangalii makosa aliyoyafanya kwa kumteua mgonjwa aliyekuja wamaliza watu kibao, kuwafunga wasio na makosa mradi ni matajiri km Ruge, Kabendera nk, kapachika ndugu kibao jikoniMagufuli anavyoongea kwenye msiba wa Mkapa hakuongelea uhusiano wake na mkapa.??
Kikwete Anawanyima sana usingizi Mbwa nyie..
Akili nyingi yule, sio kama Suku gang yenu
Noma sana.muda ni kitu adimuSana.muda utaongea.Poleni sana, naona sindano ziliwaingia, bado mnaugulia maumivu!
Tena mna bahati! , angehoji alipo Ben Saanane, Azory Gwanda, Simon Kanguye, aliyempiga Tundu Lissu risasi ndo mgejua mnajua au hamjui
Uko nje ya mada vibaya Sana mkuu!!Magufuli anavyoongea kwenye msiba wa Mkapa hakuongelea uhusiano wake na mkapa.??
Kikwete Anawanyima sana usingizi Mbwa nyie..
Akili nyingi yule, sio kama Suku gang yenu
baba huku back bancher hatujakuelewaNawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile
Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi tunatembeleana, tumepeana mashamba na hata viwanja tumepeana
Mtu anayasema hayo, Wakati hajaulizwa swali la Aina hiyo, hii kitu huwa INA maana gani??
Noma Sana!Magufuli anavyoongea kwenye msiba wa Mkapa hakuongelea uhusiano wake na mkapa.??
Kikwete Anawanyima sana usingizi Mbwa nyie..
Akili nyingi yule, sio kama Suku gang yenu
Acha kumsingizia kikwete jambo la uongo. Tena acha kabisa. MheshimuMagufuli anavyoongea kwenye msiba wa Mkapa hakuongelea uhusiano wake na mkapa.??
Kikwete Anawanyima sana usingizi Mbwa nyie..
Akili nyingi yule, sio kama Suku gang yenu
Wenye macho hawaambiwi tazama... Kama pembe lipo halijifichi... Sasa hilo pembe la kupekua eti lipo ndo tunalisikia leo... Tumeona kwa macho hatuhitaji hadithi.Kilichowauma wapambe wa Mwebdazake, ni mzee wa Msoga kuweka rekodi sawa kuwa barabara za kuunganisha mikoa alizijenga yeye na akaacha mikoa michache tu huku Mwendazake akiwa ndiye Nyapara wake mkuu! .
Wapambe wa Mwendazake walitaka kufuta legacy ya Mzee wa Msoga kwa kudanganya watu kuwa mibarabara yote ya lami ya miaka kadhaa nyuma ilijengwa na mwendazake kumbe ni uwongo!
Mzee wa Msoga akalinda Legacy yake na hicho kimewauma wapambe wa Mwendazake!
Account yako ni mpyaa, inaonekana una bonge la mada nzito
Mambo yenu CCM hayana maslahi kwa Taifa
Mkuu nilishangaa acha kabisa, kwamba wake zetu walikuwa marafiki... [emoji15][emoji15]Mkuu,kumbe na wewe hukuelewa kama Mimi eeeh!![emoji124][emoji124]