Kwani kulikuwa na Maswali pale au kulikuwa mwongozo wa namna ya kuongea?Nawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile
Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi tunatembeleana, tumepeana mashamba na hata viwanja tumepeana
Mtu anayasema hayo, Wakati hajaulizwa swali la Aina hiyo, hii kitu huwa INA maana gani??
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app