Hivi mtu hujaulizwa, hujasemeshwa, unapewa nafasi ya kusema machache kwenye hafla, halafu unaanza tu kujitetea mara hooh Mimi mbona mwema tu n.k...

Hivi mtu hujaulizwa, hujasemeshwa, unapewa nafasi ya kusema machache kwenye hafla, halafu unaanza tu kujitetea mara hooh Mimi mbona mwema tu n.k...

Nawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile

Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi tunatembeleana, tumepeana mashamba na hata viwanja tumepeana

Mtu anayasema hayo, Wakati hajaulizwa swali la Aina hiyo, hii kitu huwa INA maana gani??
Kwani kulikuwa na Maswali pale au kulikuwa mwongozo wa namna ya kuongea?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwan hakustahili kufa. Mbona hata mafisi huwa yanakufa. Mwacheni mzee wa msoga alikuwa anapiga soga.

Yeye alipiga soga mafisi CCM, mataga mnamshika uchawi. Umbea unewajaa!!
 
Mngemwandikia cha kuongea basi.

Umbea ni kama ngozi.

CCM hakuna mzuri, kila mtu ni mchawi.
 
Magufuli anavyoongea kwenye msiba wa Mkapa hakuongelea uhusiano wake na mkapa.??
Kikwete Anawanyima sana usingizi Mbwa nyie..
Akili nyingi yule, sio kama Suku gang yenu
yaani hapa wasimguse kabisa Mzee wa Msoga, hawaangalii makosa aliyoyafanya kwa kumteua mgonjwa aliyekuja wamaliza watu kibao, kuwafunga wasio na makosa mradi ni matajiri km Ruge, Kabendera nk, kapachika ndugu kibao jikoni
km ni gang la Suku..land safari wasahau Mama atalipangua hasa kaanza na wajikoni leo
labda hawaongelei wa Msoga watakuwa na wivu wa kike
 
Poleni sana, naona sindano ziliwaingia, bado mnaugulia maumivu!

Tena mna bahati! , angehoji alipo Ben Saanane, Azory Gwanda, Simon Kanguye, aliyempiga Tundu Lissu risasi ndo mgejua mnajua au hamjui
Noma sana.muda ni kitu adimuSana.muda utaongea.
 
Kilichowauma wapambe wa Mwebdazake, ni mzee wa Msoga kuweka rekodi sawa kuwa barabara za kuunganisha mikoa alizijenga yeye na akaacha mikoa michache tu huku Mwendazake akiwa ndiye Nyapara wake mkuu! .

Wapambe wa Mwendazake walitaka kufuta legacy ya Mzee wa Msoga kwa kudanganya watu kuwa mibarabara yote ya lami ya miaka kadhaa nyuma ilijengwa na mwendazake kumbe ni uwongo!
Mzee wa Msoga akalinda Legacy yake na hicho kimewauma wapambe wa Mwendazake!
 
Magufuli anavyoongea kwenye msiba wa Mkapa hakuongelea uhusiano wake na mkapa.??

Kikwete Anawanyima sana usingizi Mbwa nyie..

Akili nyingi yule, sio kama Suku gang yenu
Uko nje ya mada vibaya Sana mkuu!!

Kalale kwanza
 
Nawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile

Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi tunatembeleana, tumepeana mashamba na hata viwanja tumepeana

Mtu anayasema hayo, Wakati hajaulizwa swali la Aina hiyo, hii kitu huwa INA maana gani??
baba huku back bancher hatujakuelewa
 
Mleta mada anaishi kwa majungu na chuki kwa JK, jambo ambalo halimsaidii chochote zaidi ya kupoteza muda kuja na mada ambazo hazina ukweli wowote
 
Magufuli anavyoongea kwenye msiba wa Mkapa hakuongelea uhusiano wake na mkapa.??

Kikwete Anawanyima sana usingizi Mbwa nyie..

Akili nyingi yule, sio kama Suku gang yenu
Acha kumsingizia kikwete jambo la uongo. Tena acha kabisa. Mheshimu
 
Watu wataweweseka sana msimu huu hata masika ykifika ukomo wengi watakuwa wamekaa sawa...
Walijaribu na wanaendelea kujaribu kuyumbisha jahazi lakini bado wanayumba wao kwa sababu wamo... "WANAFIKI WALE" Nahodha anawawacheki tu "inhiiii" kama vile hawaoni... majizi wale na uzalendo wao feki tutaendelea kuona wakiweweseka huku "utumbo wao" ukijianika taratibu... nasikia eti wanarejesha ngawira na milungula kwa "sauti ya upole"
NDIO MAANA MAKELELE YANAZIDI KWA MAANA UCHUNGU W KUTAPIKA VIVUNO HARAMU UNA....
 
Kilichowauma wapambe wa Mwebdazake, ni mzee wa Msoga kuweka rekodi sawa kuwa barabara za kuunganisha mikoa alizijenga yeye na akaacha mikoa michache tu huku Mwendazake akiwa ndiye Nyapara wake mkuu! .

Wapambe wa Mwendazake walitaka kufuta legacy ya Mzee wa Msoga kwa kudanganya watu kuwa mibarabara yote ya lami ya miaka kadhaa nyuma ilijengwa na mwendazake kumbe ni uwongo!
Mzee wa Msoga akalinda Legacy yake na hicho kimewauma wapambe wa Mwendazake!
Wenye macho hawaambiwi tazama... Kama pembe lipo halijifichi... Sasa hilo pembe la kupekua eti lipo ndo tunalisikia leo... Tumeona kwa macho hatuhitaji hadithi.
 
Back
Top Bottom