Aombe toba kumuua nyoka?Duuh, hapo kuna roho nyingi zimetoka zote hazina hatia omba Toba kwa mola wako
Na inaonesha Kuna roho Fulani inakufuatilia mkuu hii ni alert kwako fikiria mapito yako yakoje
Kwani wewe si ETUGRUL BEY au OTHMAN BEY?Kwani Mimi ni ETUGRUL BEY au Osman bey?
Wewe ulinitaja kama Osman bey ndio maana nikakuuliza vileKwani wewe si ETUGRUL BEY au OTHMAN BEY?
Unaongea pumba , soma tena ulichoandika we mlokole uchwaraDuuh, hapo kuna roho nyingi zimetoka zote hazina hatia omba Toba kwa mola wako
Na inaonesha Kuna roho Fulani inakufuatilia mkuu hii ni alert kwako fikiria mapito yako yakoje
Maandiko yenyewe yanasema tuwauwe kwa kuwaponda kichwa...Duuh, hapo kuna roho nyingi zimetoka zote hazina hatia omba Toba kwa mola wako
Na inaonesha Kuna roho Fulani inakufuatilia mkuu hii ni alert kwako fikiria mapito yako yakoje
Tena nyoka ndo haraka sana kuua, maana ukichelewa anakuwahi yeye. LolChief
Viumbe vifuatavyo usiwaze mara mbili viuwe Nyoka, Ng'e,Panya na kunguru
Kabisaaa yaan.Nyoka ni adui wa binaadamu, usipomuwahi wewe akakufanyia timing anakumaliza wewe.