Hivi mtu mwenye akili timamu bado atasema tusiue nyoka Kwakuwa ni rafiki wa binadamu?

Duuh, hapo kuna roho nyingi zimetoka zote hazina hatia omba Toba kwa mola wako

Na inaonesha Kuna roho Fulani inakufuatilia mkuu hii ni alert kwako fikiria mapito yako yakoje
Aombe toba kumuua nyoka?
 
Duuh, hapo kuna roho nyingi zimetoka zote hazina hatia omba Toba kwa mola wako

Na inaonesha Kuna roho Fulani inakufuatilia mkuu hii ni alert kwako fikiria mapito yako yakoje
Unaongea pumba , soma tena ulichoandika we mlokole uchwara
 
Duuh, hapo kuna roho nyingi zimetoka zote hazina hatia omba Toba kwa mola wako

Na inaonesha Kuna roho Fulani inakufuatilia mkuu hii ni alert kwako fikiria mapito yako yakoje
Maandiko yenyewe yanasema tuwauwe kwa kuwaponda kichwa...
 
Kuua kitu inategemeana na mazingira.Kitu chochote kinaweza kuua kitu kingine.Ata binadamu wako wanaowaua binadamu wenzao.Nyoka wanahukumiwa zaidi kwasababu za kuaminishwa kwenye mojawapo ya imani ila sio kwamba nyoka ni hatari kuliko viumbe vingine vinavyoua vingine.Kilichotokea hapo kwa huyo nyoka ni ajali tu zinazoweza kumkuta yoyote kwenye harakati zakutafuta riziki.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nyoka ni adui wa binaadamu, usipomuwahi wewe akakufanyia timing anakumaliza wewe.
 
Back
Top Bottom