Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Hii sio kazi ni uchafuSema usipuuze kazi ya mwenzio.
Hatari ya boda boda tofauti na hiyo uliyoitajaSamahani lakini kila kitu ni hatari kwa uhai mfano hata nguo yako inaweza kukuuwa, kwahiyo nafikiri huna akili
Nkajua utasema hutoruhusu watoto wako kupanda bodaboda....nilitaka nishangae jiraniiMimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya kijinga kama Boda Boda
Sasa ungetoa na ushauri mkuu. Hawa waliojiajiri kwenye bodaboda ulitaka wafanye kazi gani?Yaani hiki chombo Cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda Chali Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya kijinga kama Boda Boda naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe ni uchafu yaani unakufa kisa buku si ujinga huu
Hiyo sio kazi ni uchafuWanetu wanaishi kwa hiyo kazi.
Kiongozi kuwa na machache. Kesho ya mwanao huijui.Yaani hiki chombo Cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda Chali Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya kijinga kama Boda Boda naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe ni ujinga
Hiyo sio kazi ni UCHAFU mwanangu hawezi kufanya hiyo kazi nikiwa haiKiongozi kuwa na machache. Kesho ya mwanao huijui.
Siyo kila mwenye kuvaa koti jeupe ni Daktari. Wengine wanauza nyama.
Bodaboda ni kazi kama nyingine. Kuna wengi humu wamesoma na kusomesha kwa sababu ya Bodaboda.
Labda uwashauri wahusika watimize wajibu kuzifanya Bodaboda ziwe usafiri wa usalama.
Huyo karogwa sio kifo Cha kawaida hichokufa kupo bwan,,kuna mwanaume huku alikufa kwa kukabwa na tonge la ugal,,ni serious sio joke hii.