Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Yaani hiki chombo cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi, aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda chali.
Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya bodaboda, naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe siyo yaani unakufa kisa buku si ujinga huu.
Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya bodaboda, naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe siyo yaani unakufa kisa buku si ujinga huu.