Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Yaani hiki chombo Cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda Chali Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya kijinga kama Boda Boda naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe ni uchafu yaani unakufa kisa buku si ujinga huu
Mimi sijawahi kupanda Bodaboda.

Bora hata Bajaji kuliko Bodaboda.
 
Alafu huwajui boda boda wewe😢
Usingekuwa Anonymous hao mabinti wenyewe wangetumuliwa na madereva bodaboda🏍️ wa mtaani kwako ili akuletee hiyo generation kwenye clan yako akili ikukae sawa😅

Ushauri wangu hiyo kauli yako usije thubutu kuitamka public.

I'm out ✍🏿
 
Back
Top Bottom