Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Hivi mtu unawazaje kuendesha bodaboda kama kazi?

Tena nimekumbuka👻
Ivi unatambua umuhimu wa kale ka'vibration ka engine kwenye izo twin turbo super charger 🍆 pale kiunoni😅
Ndo maana kila wakiweka imooo🤰🏿 😂😂
Mtoto wa kiume kiuno kinatakiwq kiwe on duty everytime ndo maana vijana wanalala wamechoka asee😅
 
Miaka ya mwishoni mwa 90 nikiwa kijana, kuna sister 1 alifiwaga na baba yake, baba yake alikua ni mtu mwenye uchumi wa kati, huyu sister alikua na urafiki na watoto wa mzee mmoja alikua kigogo kwenye taasisi 1 kubwa ya serikali. Baada ya mazishi (marehemu alizukwa mkoa mmoja upo mpakani na chi moja jirani ) wale "marafiki" zake wa ushuani walimwambia hivi, "swahiba pole sana kwa msiba wa baba, samahani hatukuja msiba wa baba, gari lililokuwepo nyumbani halikua na AC"

We jamaa umenikumbusha wale watoto wa kishua. Tanzania ina watu tunatofautiana na kiuchumi wallah
 
Boda boda ni ajira ya chap chap wakati unatafuta namna ya kuwa stable either unasubiri ajira au saa nyingine ikawa boda ndo kazi ya kudumu, nakumbuka ilikua unaamka huna pesa ikifika jion kinyonge hukosi ka ya ten mfukoni.!
Nimeifanya Kwa miaka 3 mfululizo.
Wanangu wa ku hustle msisikilize huyo jamaa, kikubwa kumuomba Mungu akulinde uwapo barabaran, watakufa na ajali walioko kwenye range wakiamini wapo safe lkn wewe unaendelea kudunda.!
 
Kuna mtu akiwa na laki sita bar na ww ukawa na milion nne.

Kwa atakachokua anakifanya sio ww tu unaweza ukasema amekuzidi hela mpaka wahudumu wataamini hvyo.

Endeleeni kuwakebehi wahaya kuwa ndio wenye hzo mambo.
 
Kuna mwenziwetu job amefariki like 1 month now kwa ajali ya gari (Mercedes). Kabla alikuwa anaendesha click kwa zaidi ya miaka miwili ndio usafiri wake wa kwenda na kurudi kazini lkn hakuwahi ht kudondoka ila kaja Kupata ajali wakati akiwa na gari.
Ulikuwa utoe ushauri tu kwa waendesha bodaboda waendeshe kwa kuzingatia usalama wakiwemo barabarani.
 
Huyo siku yake imefika ila bodaboda analazimisha kufa mwenyewe
 
Ni
Tena nimekumbuka👻
Ivi unatambua umuhimu wa kale ka'vibration ka engine kwenye izo twin turbo super charger 🍆 pale kiunoni😅
Ndo maana kila wakiweka imooo🤰🏿 😂😂
Mtoto wa kiume kiuno kinatakiwq kiwe on duty everytime ndo maana vijana wanalala wamechoka asee😅
Nimeshagonga wake wa bodaboda kama 8 hivi huwa wakiwa kijiweni Mimi wake zao wanakuja home natembeza rungu Kuna mmoja Kuna mmoja anamtoto wangu yaani dogo kafanana na Mimi sana ila bodaboda ndio analea sijui tatizo nini mpaka wake zao wanawasaliti maana wawili nimetoka kuwagonga wiki iliyopita
 
Screenshot_20231205-213143~2.jpg
 
Yaani hiki chombo Cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda Chali Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya kijinga kama Boda Boda naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe ni uchafu yaani unakufa kisa buku si ujinga huu
Mwakani mwezi wa saba nitafikisha miaka 20 ya kukimbiza upepo kwa boda tusipangiane mishe!
 
Kama hawaji kwako kuomba hela ya kula waache na maisha yao.
 
NI ujinga wa Watanzania kubagua kazi Mimi kuna kipindi nilipigika nikawa nauza Kuku pale mbande Kwa siku nilikuwa namaliza Kuku 20 ambayo faida nilikuwa nalaza elfu 60 kila siku mpk nikanyenyuka tena na mpk sasa nipo vizuri zaidi usidhalau kazi ya mtu hata siku moja
 
Back
Top Bottom