Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Unashughulika vipi na upumbavu wako wa hali ya chini ?Sijui wewe mwenzangu maana una upumbavu wa Hali ya juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashughulika vipi na upumbavu wako wa hali ya chini ?Sijui wewe mwenzangu maana una upumbavu wa Hali ya juu
Ni uchafu Fulani hiviKama akili yako
Unashugulika vipi na upumbavu wa Hali ya juu?Unashughulika vipi na upumbavu wako wa hali ya chini ?
iHamna ridhiki hapo ni uchafu tu mwanaume unagombaniaje buku
1.Wakubwa wanasemaga tema mate chini kijana.
2.Usitukane mamba na mto hujavuka,
3. hujafa hujaumbika.
4.Huijui kesho yako.
As a matter of fact, choking ni very common kuliko unavyodhaniHuyo karogwa sio kifo Cha kawaida hicho
Kwa ku discipline watoto washenzi wajaa laana kama wewe.Unashugulika vipi na upumbavu wa Hali ya juu?
Mungu hatoi. Acha uongo kumsingizia mungu hivi mbona mnapenda sana kumsingizia mungu kwenye umasikini wakoHawaelewagi hawa kuwa Mtoaji Mungu na hakuna alopanga yeye kuwa the alivyo.
Mpaka yawakute ndio wanakuja kutambua kuwa Duniani hakuna mwenye jeuri.
Kwa ku discipline wajinga kama weweKwa ku discipline watoto washenzi wajaa laana kama wewe.
Kama upo kwenye level ya kupambana watoto wako wasije wakawa waendesha bodaboda basi una safari ndefu sana, I mean kiychumi unahitaji nguvu na pumzi nyingi sana hata ikibidi msaada wa lift ili uweze kumaliza umbali wa meta 50, nina maanisha meta 50.Yaani hiki chombo Cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda Chali Mimi watoto wangu siwezi ruhusu wafanye kazi ya kijinga kama Boda Boda naonaga wanasiasa wanawasifia na yenyewe yanaona sifa kwamba ni kazi ya maana kumbe ni uchafu yaani unakufa kisa buku si ujinga huu
Una type ujinga kama kuku aliyekatwa kichwa, shenzy typeKwa ku discipline wajinga kama wewe
Nimeshasema mtoto wangu hawezi kuwa bodaboda full stop wewe endelea na hiyo kazi Yako ya kirofaKama upo kwenye level ya kupambana watoto wako wasije wakawa waendesha bodaboda basi una safari ndefu sana, I mean kiychumi unahitaji nguvu na pumzi nyingi sana hata ikibidi msaada wa lift ili uweze kumaliza umbali wa meta 50, nina maanisha meta 50.
Endelea kujitafuta
Unatype ujinga kama nguruwe pori jinga weweUna type ujinga kama kuku aliyekatwa kichwa, shenzy type
HahahahaNi ukweli mchungu.
Jf vijana wengi kazi yao ni bodaboda (kukimbiza) upepo.
Kabaiskeli chenye injini kanakuwa ajira ya mtu daaahh 😭 😭 😭.
Mungu tuokoe waafrika
Acha ujinga wewe, kwa hiyo watoto wako watafanya kazi wapi, benki au?Hii sio kazi ni uchafu
Mungu hatoi. Acha uongo kumsingizia mungu hivi mbona mnapenda sana kumsingizia mungu kwenye umasikini wako
Sasa hivi bajaj zinapiga mizinga kuliko hizo boda. Binafsi bajaj hapana, napanda bodaboda voz naweza kumcontrol ila bajaj, tena hizi njia za lami ndio kabisa sipandi.Mimi sijawahi kupanda Bodaboda.
Bora hata Bajaji kuliko Bodaboda.
Bodaboda gani unaowaongelea mzee baba?, mbona tunaishi nao huku mtaani hali zao tunazijua, yani alaze 30k halafu asumbuane na boss kwa hesabu ya 10k.! hivi hizi hesabu mnazozitajaga mshawahi kufanya iyo kazi au mnazitaja tu baada ya kusikia story mtaani.Bodaboda ina hela
Mtu kulaza 30 Kwa siku ni laZima
Hapo Kwa mwezi laki 9
Ni watumishi wachache wa umma wanalipwa laki 9
Bodaboda wanajenga, watoto wanaosoma, wanaendesha familia
Usidharau kazi ya mtu
Basi sipandi zote.Sasa hivi bajaj zinapiga mizinga kuliko hizo boda. Binafsi bajaj hapana, napanda bodaboda voz naweza kumcontrol ila bajaj, tena hizi njia za lami ndio kabisa sipandi.
Kingine, madereva wengi waliokuwa wanaendesha bodaboda wamehamia kwenye bajaj, ule ujinga wao wameenda nao huko.