Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Hakuna mwanaume asiyechepukaKwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habar KAMA ZA KIJASUSI vile, tena nzito nzito na anazileta BILA WOGA. Na wakati mwngn nabak najiuliza HUYU DADA NI NANI..??
Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli..?? Yan nna waswas huyu kma ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpk lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpk idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako. Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sn mambo aisee. Khaaa...!!!
Hata wewe unamfuatilia sana kuona kaposti niniKwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habar KAMA ZA KIJASUSI vile, tena nzito nzito na anazileta BILA WOGA. Na wakati mwngn nabak najiuliza HUYU DADA NI NANI..??
Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli..?? Yan nna waswas huyu kma ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpk lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpk idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako. Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sn mambo aisee. Khaaa...!!!
Kwa kifupi hana mume. Ni single mamaKwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habar KAMA ZA KIJASUSI vile, tena nzito nzito na anazileta BILA WOGA. Na wakati mwngn nabak najiuliza HUYU DADA NI NANI..??
Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli..?? Yan nna waswas huyu kma ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpk lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpk idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako. Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sn mambo aisee. Khaaa...!!!
Hakuna mwanaume asiyechepuka
Sijawah kumfuatilia, na wala INSTAGRAM siingiagi na wala sijawahi. Ila kila kukiwa na HOT NEWS hapa nchini, kwny magroup ya watsapp watu wanarusha comments zake nyng sn, mpk unaogopa aisee.Hata wewe unamfuatilia sana kuona kaposti nini
Daaah, ila jamaa inaelekea katika uchepukaji wake akiwa na huyu binti alipata shida sn aisee..!!Hakuna mwanaume asiyechepuka
Ha ha ha, kama ulikuwepo vile.
Mume alibwaga manyanga kwa sababu ya issues kama hizo.
Hata ukikamatwa red handed lawama zote mtupie shetani.WANAUME WOTE NI WAAMINIFU
Ha ha haaaaaaa.Hata ukikamatwa red handed lawama zote mtupie shetani.
Inaonekana wewe ni muhanga, wanaume waaminifu wapo lakini wanawake mara nyingi wanapotaka kuingia katika mahusiano hawazingatii suala hilo, wao wanachotaka ni maslahi - sasa kama ulitaka maslahi umeyapata, ni kwanini tena utake mtu mwaminifu wakati halikuwa chaguo lako in the first place ?true,kama yupo nina uwalakini na uanaume wake 😵😳😱
Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habar KAMA ZA KIJASUSI vile, tena nzito nzito na anazileta BILA WOGA. Na wakati mwngn nabak najiuliza HUYU DADA NI NANI..??