Hivi mume wa Mange Kimambi anachepuka kweli??

Hivi mume wa Mange Kimambi anachepuka kweli??

Mumewe ni govi na anachapa sana nje. Hata wewe ungekuwa mume wa huyu Mange, ungefanya hivyo hivyo maana Mange anaboa kishenzi na she's fake
Kaka eeh, mbn unatoa statement yenye utata..? Nadhani wewe ni ME, sasa umejuaje kama ni GOVI..???
Nway, NO COMMENT..!!![emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Mange taratibu ameanza kuwaingia na ata wasiompenda wanamfuatilia,anawafuasi wengi sana,anaaminika kwa Yale asemayo,miaka minne mbele akiendelea ivi athari zake ni kubwa
 
Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habar KAMA ZA KIJASUSI vile, tena nzito nzito na anazileta BILA WOGA. Na wakati mwngn nabak najiuliza HUYU DADA NI NANI..??

Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli..?? Yan nna waswas huyu kma ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpk lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpk idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako. Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sn mambo aisee. Khaaa...!!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Inaonekana wewe ni muhanga, wanaume waaminifu wapo lakini wanawake mara nyingi wanapotaka kuingia katika mahusiano hawazingatii suala hilo, wao wanachotaka ni maslahi - sasa kama ulitaka maslahi umeyapata, ni kwanini tena utake mtu mwaminifu wakati halikuwa chaguo lako in the first place ?

Mwanaume anaangalia 'physical attractiveness' wao kichwani kwao ni sex tu,wanawake wanaangalia maslahi hata kama hawaukubali huu ukweli mchungu,wote hatuko genuinely in love,kila mtu anaangalia what he/she gets from the relationship,cha kushangaza tunanyoosheana vidole kila mtu kulalamika Fulani ananitumia,mmmmnh kupata mtu unampenda na yeye anakupenda 100% labda by chance.
 
Kwani kaolewa tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume anaangalia 'physical attractiveness' wao kichwani kwao ni sex tu,wanawake wanaangalia maslahi hata kama hawaukubali huu ukweli mchungu,wote hatuko genuinely in love,kila mtu anaangalia what he/she gets from the relationship,cha kushangaza tunanyoosheana vidole kila mtu kulalamika Fulani ananitumia,mmmmnh kupata mtu unampenda na yeye anakupenda 100% labda by chance.
Uko sahihi, lakini mazingira ya namna hii kutokana na uzoefu wangu Yanajengwa - Kuna vijana wanazaliwa na kukua katika malezi mazuri na mema lakini kutokana na sulba za kimahusiano wanabadilika sana - Mfano usitegemee Kijana masikini, mtafutaji aliyeteswa na kuumizwa kimahusiano kumwamini mwanamke pale atakapokuwa amefanikiwa. Binafsi ninachokiona wanawake sio watu wa kusubiri - wanataka mtu kahangaika katoka hata kama ni mbabu basi wanajiweka
 
Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habar KAMA ZA KIJASUSI vile, tena nzito nzito na anazileta BILA WOGA. Na wakati mwngn nabak najiuliza HUYU DADA NI NANI..??

Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli..?? Yan nna waswas huyu kma ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpk lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpk idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako. Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sn mambo aisee. Khaaa...!!!

Hizi habari si mnampa nyie watanzania mnaozisoma? huyu anajua hiki na huyu kile, ana audience kubwa. Kwa mumewe can be 100% different, source itakuwa ni nini?
 
Mimi ex waifu alishanifumania kabisa laivu kitandani mwetu nilimpiga saundi had akakubali alikuwa anaota ni illusion. Hadi Leo anadhani hivyo. Mwanaume uwez kubali mambo ngeseki ngeseki lazima Uwe mbishi
 
Halafu mbona Lance alikuwa ana chepuka??
 
Uko sahihi, lakini mazingira ya namna hii kutokana na uzoefu wangu Yanajengwa - Kuna vijana wanazaliwa na kukua katika malezi mazuri na mema lakini kutokana na sulba za kimahusiano wanabadilika sana - Mfano usitegemee Kijana masikini, mtafutaji aliyeteswa na kuumizwa kimahusiano kumwamini mwanamke pale atakapokuwa amefanikiwa. Binafsi ninachokiona wanawake sio watu wa kusubiri - wanataka mtu kahangaika katoka hata kama ni mbabu basi wanajiweka

pole inaelekea na wewe ni muhanga,kijana maskini aliyeumizwa anaweza asimtrust mtu again uko right,ila wengine sio sababu ya kufanya asipende tena kwa sababu inadepend kama amerecover vipi katika uhusiano uliomuumiza hisia,katika mapenzi mkuu wote tunafanya trial and error,unajitosa kwa mtu ni majaribio tu unawezwa upendwe au la,sasa utakuwa naïve kuweka too much expectations kwenye uhusiano wa hivyo,na kama kila unayemfuata anakuumiza hisia,inabidi ujiangalie kwanza kama una tatizo,lastly nilikuambia tutanyoosheana vidole tu,kuna MABABU kibao yanafuata wasichana wadogo wazuri wa umbo na wengi wakiwa wadogo hawafikirii mengi,then they are being USED.
 
Back
Top Bottom