Hivi mume wa Mange Kimambi anachepuka kweli??

Hivi mume wa Mange Kimambi anachepuka kweli??

Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habar KAMA ZA KIJASUSI vile, tena nzito nzito na anazileta BILA WOGA. Na wakati mwngn nabak najiuliza HUYU DADA NI NANI..??

Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli..?? Yan nna waswas huyu kma ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpk lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpk idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako. Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sn mambo aisee. Khaaa...!!!
Mbona alikuwa anachepuka na shoga yake, na alibisha mpaka waliporusha picha zao..... hana cha ufbi wala ucia.... Tz ukitaka habari zozote unapata tuu, kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu...madaktari wao, lawyers wao, wanasiasa wao....na ndio hao ambao humtumia huyo mange hizo habari
 
Huyu mtu ni Nani nasikia mnamuongelea sanaa.....Au yeye Hafanyiwi Kifo cha Membe?
 
Mimi ex waifu alishanifumania kabisa laivu kitandani mwetu nilimpiga saundi had akakubali alikuwa anaota ni illusion. Hadi Leo anadhani hivyo. Mwanaume uwez kubali mambo ngeseki ngeseki lazima Uwe mbishi
Pamoja na sound mwishowe akawa x-wife kwako!! Ilikuwaje tena mzee wa sound!?
 
Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habar KAMA ZA KIJASUSI vile, tena nzito nzito na anazileta BILA WOGA. Na wakati mwngn nabak najiuliza HUYU DADA NI NANI..??

Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli..?? Yan nna waswas huyu kma ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpk lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpk idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako. Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sn mambo aisee. Khaaa...!!!
Siku zote mganga hajigangi
 
Kwani hicho Kinungayembe kina mume au madanga..[emoji83][emoji1436]
 
Dada lile domo hafai....ila yeye ni safi kiasi gani?
 
true,kama yupo nina uwalakini na uanaume wake 😵😳😱
kuna wakati unakua kwenye ndoa au mahusiano na mwanamke ambae hata ukitaka kumtendea ubaya wowote nafsi inakusuta sababu ya upendo wake, kujitoa kwake na tabia nzuri zake. ukiona nafsi kwa mwanaume inakupeleka hivo ni ngumu sana kuchepuka maana unakua huna amani kabisa mda mwingine mtu anakosa hadi raha kabisa. so inategemeana sio wote japo ni wachache.
 
Back
Top Bottom