Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habar KAMA ZA KIJASUSI vile, tena nzito nzito na anazileta BILA WOGA. Na wakati mwngn nabak najiuliza HUYU DADA NI NANI..??
Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli..?? Yan nna waswas huyu kma ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpk lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpk idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako. Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sn mambo aisee. Khaaa...!!!