Hivi mume wa Mange Kimambi anachepuka kweli??

Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habari kama za kijasusi vile, tena nzito nzito na anazileta bila woga. Na wakati mwingine nabak najiuliza huyu dada ni nani?

Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli?? Yani nina wasiwasi huyu kama ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpaka lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpaka idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako.

Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sana mambo aisee. Khaaa...!!!
Hakuna Mwanaume atahangaika na mwanamke kama yule
 
Habari zipi za kijasusi?
 
Kaka eeh, mbn unatoa statement yenye utata..? Nadhani wewe ni ME, sasa umejuaje kama ni GOVI..???
Nway, NO COMMENT..!!![emoji40] [emoji40] [emoji40]

Asilimia kubwa ya wazungu haswa Wamarekani ni magovi so is Mange's husband na anaonekana tu.
 
kwani ww umekua ibrahim muangalie yusufu ukijizuia yanawezekana t bila shida
 
Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habari kama za kijasusi vile, tena nzito nzito na anazileta bila woga. Na wakati mwingine nabak najiuliza huyu dada ni nani?

Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli?? Yani nina wasiwasi huyu kama ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpaka lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpaka idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako.

Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sana mambo aisee. Khaaa...!!!
Kwenye suala la kuchepuka hua ni inshu nyingine.

Wanaume wa siku hizi bila mchepuko si dhani, utakuta hata yeye ni mchepuko wa mtu, hapo ndio utaona aliechora sifuri alianzia wapi[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Sijawah kumfuatilia, na wala INSTAGRAM siingiagi na wala sijawahi. Ila kila kukiwa na HOT NEWS hapa nchini, kwny magroup ya watsapp watu wanarusha comments zake nyng sn, mpk unaogopa aisee.
Anataka vyeti vya bashite huyo pamoja na yule msukuma mapepo, sasa najiuliza tu kama wakipewa vyeti halafu wasiporizika wakasema hajaenda jando sijui hapo wimbo utabadilika from tunataka vyeti to........nawaza tu jamani
 
Hkn mwanaume anayeweza ishi na jini kashkash km huyo mwanamke, hata kumtaja jina naona najikosea heshima[emoji57]
 
Ukiona habari yako kwa mange ujue kuna rafiki ako au watu wako wakaribu wameitoa. Kama ni habari ya ofisi ujue ofisini kuna mtu kaitoa, hana habari zozote za kijasusi bali umbea wawabongo tu. Akiipata habari akaichanganya na chuki zake ndio anawasomba Mr, miss na Mrs YES wooote.
 
Mange Kimambi kiboko ya Bashite. Hutaki weka vyeti mezani
 
Back
Top Bottom