Hivi mume wa Mange Kimambi anachepuka kweli??

Tatizo watanzania mmezoea kuongelea vyumbani mwenu, mtu akipaza sauti mnamwona wa ajabu. Anachofanya mange kwa nchi aliyopo ni kawaida mnoooo. Nchi zenye demokrasia sio liTz lenu ukipiga miayo unaenda jela na faini mil 7[emoji29]
 
eti naye ni wakala wa tanzania ya viwanda sasa sijui ni viwanda vya udaku maana huko ndo yupo vizur
 
Ila nashangaa wanaume wenye wake was shepu zile.chembamba,vikalio vidogooo,tumiguu saizi ya mtoto.ila mdomo sasa....
 
Siyo married Mimi namfahamu vizuri sana,hakuna mwanaume anayependa mwanamke wa aina yake.
 
mganga hajigangi,, anatalaka zake za kutosha na mwanamke aliyemwita nyani ndo aliyemchukua mume wake
 
Mange taratibu ameanza kuwaingia na ata wasiompenda wanamfuatilia,anawafuasi wengi sana,anaaminika kwa Yale asemayo,miaka minne mbele akiendelea ivi athari zake ni kubwa
Ninacho kiona kwahuyu Mdada pamoja na mapungufu yake mengine ...kwasasa anapata taarifa kutoka kwenye very reliable sources......amekuwa platform ya watu kusemea/kukosoa au voice of voiceless...kuna watu very senior na Influencial wanaogopa kusema hili kulinda ajira na maisha yao..hivyo wanasemewa kupitia kwa Mange!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…