Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapumbavu pekee ndio wanaoweza kupigana mbele ya kadamnasi
Hata Malaya kwangu Mimi asithubutu!!Mke akupige kibao mbele za watu?
Kwanza huyu atakuwa siyo mke, ni malaya.
Na talaka ya malaya ni makofi.
Tia vibao asepe!
Unapaswa ushukuru na kusema kwa sauti kwamba kofi la mpenzi haliumi kiviiileee!🤔Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?
Kwamba wewe ni "long-person"?😂nilivyo mrefu aisee mpaka kofi linifikie huku juu ntakuwa mzembe sana
😂 😂 😂 😂 😂Ntaenda msemelea hamas
Natangaza hapo hapo kwenye umati kama kuna mtu mwenye huruma anistiri kwa kunipatia mwanamke mwingine. Hata asipojitokeza ntaenda miji ya mbali nikajaribu bahati yangu.Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?
Mpaka mwanamke anakupiga kofi mbele za watu ashakuona fala. Yaani uyo atakajaribu atachezea kichapo heavy hapo hapo. Bora lawama kuliko fedheaHivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?