Hivi mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?

Hivi mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?

Show aliyoianzisha nitaimaliza kinyama!!.
 
Sitamfanya chochote kama mke nitaondoka hapo nilipo.na pengine hata nisimuoneshe kuwa niliumia wala nilijisikia fedheha.

Lakini ni wapumbavu pekee ndio uaibishana mbele za watu
Sasa kibao tu unaumiaje mwaya 😅😅
 
Sasa kibao tu unaumiaje mwaya 😅😅
We naeee kwani hujui kuwa mwanamke au mwanamke anaeshindwa kuzuia hasira zake mbele ya kadamnasi ni mpumbavu na hakuheshimu?

Unashindwaje kuzungumza tukiwa wawili mpka unipige kibao?
Na mwanamke unatolea wapi ujasiri wa kumpiga mwanaume kibao?
 
Sitamfanya chochote kama mke nitaondoka hapo nilipo.na pengine hata nisimuoneshe kuwa niliumia wala nilijisikia fedheha.

Lakini ni wapumbavu pekee ndio uaibishana mbele za watu
wana wake kama nyinyi nawaogopa sana
 
We naeee kwani hujui kuwa mwanamke au mwanamke anaeshindwa kuzuia hasira zake mbele ya kadamnasi ni mpumbavu na hakuheshimu?

Unashindwaje kuzungumza tukiwa wawili mpka unipige kibao?
Na mwanamke unatolea wapi ujasiri wa kumpiga mwanaume kibao?
Wew hujakaa mbele nyumba nyuma jalala ,kuna wavaa madela vioengele sana bila vibao hawawezi kudumu
 
Sio tu kofi, hata maneno yasiyo na staha hawezi kunitamkia mbele za watu, hilo kofi mbona mbali sana.

Ukioa(olewa) na mtu wa hovyo matokeo yake ndio hayo, kuvunjiana heshima in public.
 
Mwanaume hupaswi hata kuwaza suala hili...
 
Kumuitia mwizi ni shingapi? 🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Namtemea kohozi usoni kisha naendelea kukohoa huku nikitokomea maana ndio itakuwa mwisho wetu.
 
Ndugu

Huyo ninakuwa Nimemuoa au Tumeoana?

Tuanzie hapa kwanza
 
Back
Top Bottom