Hivi mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?

Hivi mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?

Kinadharia nitaondoka kimya kimya kuepusha shari ila kivitendo atachezea knuckles kama mbwa koko.
Yani nitapiga kama napiga jambazi. Ikitokea akapona hatothubutu hata kusogea karibu yangu.
 
Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?
"Mwanangu usithubu kunyanyua mkono kumpiga mwanamke, kufanya hivyo ni laana". Namshukuru Mungu ninayaishi haya maneno ya mshua wangu!
 
Back
Top Bottom