Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Oct 12, 2023 #41 Dasizo said: Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora? Click to expand... Hiyo ni dharau na kudhalilishana huko, nitarudisha....πππ
Dasizo said: Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora? Click to expand... Hiyo ni dharau na kudhalilishana huko, nitarudisha....πππ
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,573 Reaction score 10,063 Oct 12, 2023 #42 Chakorii said: Kwanini mkuu? Click to expand... Nimefanya kitu nikakukera halafu husemi na unajifanya kama unafuaha kumbe sio
Chakorii said: Kwanini mkuu? Click to expand... Nimefanya kitu nikakukera halafu husemi na unajifanya kama unafuaha kumbe sio
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 Oct 12, 2023 #43 Kinadharia nitaondoka kimya kimya kuepusha shari ila kivitendo atachezea knuckles kama mbwa koko. Yani nitapiga kama napiga jambazi. Ikitokea akapona hatothubutu hata kusogea karibu yangu.
Kinadharia nitaondoka kimya kimya kuepusha shari ila kivitendo atachezea knuckles kama mbwa koko. Yani nitapiga kama napiga jambazi. Ikitokea akapona hatothubutu hata kusogea karibu yangu.
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Oct 12, 2023 #44 Dasizo said: Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora? Click to expand... "Mwanangu usithubu kunyanyua mkono kumpiga mwanamke, kufanya hivyo ni laana". Namshukuru Mungu ninayaishi haya maneno ya mshua wangu!
Dasizo said: Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora? Click to expand... "Mwanangu usithubu kunyanyua mkono kumpiga mwanamke, kufanya hivyo ni laana". Namshukuru Mungu ninayaishi haya maneno ya mshua wangu!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 23, 2023 #45 Hatari na poleni sana...
mwanga mweusi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 276 Reaction score 452 Nov 23, 2023 #46 Jela miaka 30 Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 6,736 Reaction score 10,669 Nov 23, 2023 #47 Ntajigaraggazza chini na kulia