Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,520
Reaction score
2,816
Yaani muislam au mjewish(mjuda)?

Majibu tafadhili.

Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
 
Swali lako haliko sahihi

Ni sawa na kuuliza hivi Magufuli ni Msukuma au Muislam?
Kwa kuwa inawezekana akawa ni Msukuma pia ni Muislam
Inawezekana Mtu akawa Muarabu lakin pia akawa Myahudi Ila haiwezekani Ukawa Muarabu hapo hapo Ukawa Muisrael

Uarabun ni race lakin Uyahudi ni dini
Ingekuwa Mussa alikuwa muisrael au muarabu
Au Mussa alikuwa Muislam au Myahudi?
 
Musa alikuwa Muisraeli tena wa uzao wa Lawi ambao ndiyo waliokuwa makuhani katika hekalu la maturubai . Uislamu umeanza miaka mia sita baada ya Ukristo kuanzia pale Antiokia. Wakati wa Musa, Uislamu haukuwepo, ila waarabu (wamidiani) walikuwepo na walikuwa wakiabudu miungu.
 
Back
Top Bottom