blessed Fanikio
Senior Member
- Dec 20, 2017
- 127
- 118
Yalishaisha hayo ni aibu kwa Mtu mzima kuendelea kuongelea kitu ambacho kimefika tamati.[emoji28] [emoji28]
Watu wana mihemko so bure,anaulizwa kingine anajibu kingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yalishaisha hayo ni aibu kwa Mtu mzima kuendelea kuongelea kitu ambacho kimefika tamati.[emoji28] [emoji28]
Watu wana mihemko so bure,anaulizwa kingine anajibu kingine
MuebraniaYaani muislam au mjewish?
Majibu tafadhili.
Muisrael ni Yacob tu. Lile jina alilopewa ni Tittle kwake tu. Kama vile Kristo ndio maana hata wadogo zakeYesu hawakuitwa James Kristo.Mussa alikuwa Muisrael. Anatokana na uzao wa Yakobo. Yakobo na wanae walipohamia Misri kukimbia njaa Kanaan.
Yesu tu walimuita Mfalme wa wayahudi na sio wa Israel. Israel sio nchi ni jina lililobaki na Jacob tu peke yake ni kama cheo alichopewa yeye tu.Israel
Myahudi kiasili.kidini ni muislam.Yaani muislam au mjewish?
Majibu tafadhili.
Hiyo kauli yako ni kwa mjibu wa kitabu gani kabla sijakupingaYesu tu walimuita Mfalme wa wayahudi na sio wa Israel. Israel sio nchi ni jina lililobaki na Jacob tu peke yake ni kama cheo alichopewa yeye tu.
Sasa alikuwa ni muafrica basHakua Arab wala Jews!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]vyuma baba
FURASTRESHENI bila Grease ni hatari sanaUmeelizwa musa wewe unamuelezea yesu... UMETOROKA MILEMBE SI BURE
Kilevi hiki inahitaji akili uipelikzo ndio uweze kunywa.Yesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] naona nimewapa mada ya kuzungumzia. FineKilevi hiki inahitaji akili uipelikzo ndio uweze kunywa.
Lakini Roho(soul) Yake na Nafsi (spirit) yake havikuwa Vya Kibinadamu Vilikuwa Ni Vya Ki Uungu Zaidi.Yesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Kwa Mujibu wa Biblia( Rejea ) kitabu cha KUTOKA 2:13 Musa Alikuwa Ni Mu EbraniaYaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
wanakupotezea muda.. waulize Musa alizaliwa kipindi gani na uislamu umeanza lini? ni kama mashariki na kusini.. usipoteze muda wako kubishana na wanywa kahawa na stori zao.Sasa mbona kuna watu wanasema alikuwa Muislam
Hahahaa mimi sahv natumia plastiki na mbao sitakagi ujingamkulu anasema ulizoea kupiga na ukisema vyuma vimekaza ukamatwe