Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Ukishasema musa maanake huyo atakuwa ni mmakonde au mbongo yoyote .labda ungesema moses kodogooooo
 
lakini hizi hapa aya za biblia zitakusaidia
kutoka 1:22 Kisha huyo Farao akawaagiza watu wake, akisema, Kila mtoto mwanamume atakayezaliwa mtamtupa mtoni, na kila mtoto mwanamke mtamhifadhi hai. - farao mwarabu
endelea hapa Kutoka 2: 1 Mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaondoka akaoa binti mmoja wa Lawi.
2 Yule mwanamke akachukua mimba akazaa mwana, na alipoona ya kuwa ni mtoto mzuri akamficha miezi mitatu.
3 Na alipokuwa hawezi kumficha tena, akampatia kisafina cha manyasi akakipaka sifa na lami, akamtia mtoto ndani yake, akakiweka katika majani kando ya mto.
4 Umbu lake mtoto akasimama mbali ili ajue yatakayompata.
5 Basi binti Farao akashuka, aoge mtoni, na vijakazi wake wakatembea kando ya mto; naye akakiona kile kisafina katika majani, akamtuma kijakazi wake kwenda kukileta.
6 Akakifungua, akamwona mtoto, na tazama, mtoto yule analia. Basi akamhurumia, akasema, Huyu ni mmojawapo wa watoto wa Waebrania.
7 Basi umbu lake mtoto akamwambia binti Farao, Je! Niende nikamwite mlezi katika wanawake wa Kiebrania, aje kwako, akunyonyeshee mtoto huyu?
8 Binti Farao akamwambia, Haya! Enenda. Yule kijana akaenda akamwita mama yake yule mtoto.
9 Binti Farao akamwambia, Mchukue mtoto huyu, ukaninyonyeshee, nami nitakupa mshahara wako. Yule mwanamke akamtwaa mtoto, akamnyonyesha.
10 Mtoto akakua, naye akamleta kwa binti Farao, akawa mwanawe. Akamwita jina lake Musa, akasema, Ni kwa sababu nalimtoa majini.
11 Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake.
 
Musa alikua mnigga, kabila lake mnyiramba wa sherui mkoani singida.
 
Swali lako haliko sahihi
Ni sawa na kuuliza hivi Magufuli ni Msukuma au Muislam?
Kwa kuwa inawezekana akawa ni Msukuma pia ni Muislam
Inawezekana Mtu akawa Muarabu lakin pia akawa Myahudi Ila haiwezekani Ukawa Muarabu hapo hapo Ukawa Muisrael

Uarabun ni race lakin Uyahudi ni dini
Ingekuwa Mussa alikuwa muisrael au muarabu
Au Mussa alikuwa Muislam au Myahudi?
Sema ni sawa na kuuliza kuwa ni mwafrika na ni muislam na si kuwa ni msukuma na mwislam
 
Yaani muislam au mjewish(mjuda)?

Majibu tafadhili.
Aaaahaaa.... acha nikupe mukhtasar wa historiya..
Katika vitabu vinne vya mwisho (Taurat,Injil,Zabur na Qura'an) vilithibitisha kuwa Nabii Mussa aliongea direct na Mwenyeezzi Mungu... usiniulize kwa lugha ipi?!? Na ndiyo Nabii Mussa ambaye sisi waDini tumuatae na kumtukuza kwa ujio wake kwetu...
kwa kifupi enzi hizo hapakuwepo utaifa kama muda huu !!
Kwa hiyo Nabi Mussa alikuwa akifuatana mdigo wake Haroona hapo Misri ndani ya utawala wa maFirauni ambao walikuwa waarabu waliotokea kusini !!
Aalahu yealam (God knows better)
 
Yaani muislam au mjewish(mjuda)?

Majibu tafadhili.

Kwanza Misri haikuwa na waarabu nyakati zile. Ilikuwa ikikaliwa na watu weusi wenye akili na uwezo mkuu sana ingawa haukufikia uweza wa Mungu.

Moses was a Hebrew!. Labda ukipenda kusonga mbele, unaaweza kuenda zaidi ukajue Hebrews wa wakati ule walikuwaje.
 
Mussa alikuwa ni muislam,, na amezungumzwa kwenye qurain,, na hata kitabu alichopewa na MUNGU torati pia Kimezungumzwa kwenye qurain,, TORATI ya MUSSA,, ZABURI ya DAUD,, INJILI ya ISSA,, (YESU) FURQAIN ya MUHAMMAD (SAW) hivyo ndivyo ilivyozungumzwa,,, na MUSSA alikuwa ni MYAHUDI hakuwa MUARABU,,,
Nipe andiko linalosema alikua muislam,nitajie nguzo tano za uislam halafu niambie musa ilitimiza ipi.halafu hapo ulipoandika furqain utuambie ulikua unamaanisha nini
 
Musa alikuwa Muisraeli tena wa uzao wa Lawi ambao ndiyo waliokuwa makuhani katika hekalu la maturubai . Uislamu umeanza miaka mia sita baada ya Ukristo kuanzia pale Antiokia. Wakati wa Musa, Uislamu haukuwepo, ila waarabu (wamidiani) walikuwepo na walikuwa wakiabudu miungu.
Abraham alikuwa anaamini katika dini gani?
 
Aaaahaaa.... acha nikupe mukhtasar wa historiya..
Katika vitabu vinne vya mwisho (Taurat,Injil,Zabur na Qura'an) vilithibitisha kuwa Nabii Mussa aliongea direct na Mwenyeezzi Mungu... usiniulize kwa lugha ipi?!? Na ndiyo Nabii Mussa ambaye sisi waDini tumuatae na kumtukuza kwa ujio wake kwetu...
kwa kifupi enzi hizo hapakuwepo utaifa kama muda huu !!
Kwa hiyo Nabi Mussa alikuwa akifuatana mdigo wake Haroona hapo Misri ndani ya utawala wa maFirauni ambao walikuwa waarabu waliotokea kusini !!
Aalahu yealam (God knows better)
Hujaeleweka soma tena swali
 
Huhuuuuuuu am sorry kama MUSA naweza sema ni myahudi alizaliwa uhamishoni misri japo alilelewa katika mazingira ya kifalme pale. Alitumika kuja kuwakomboa wayahudi wakiwa misri.
Afu hii mbinu ya kutafuta gape wakakae ikulu afu watumike kwa maslahi ya Israeli kumbe ni mbinu ya enzi na enzi Duh, basi kumbe hawa watu wataendelea kuwa habari ya mjini na kijijini miaka nenda rudi afu wanaowazunguka nao wataendelea kupata umaarufu parasite for so long!
 
Musa alikuwa Muisraeli tena wa uzao wa Lawi ambao ndiyo waliokuwa makuhani katika hekalu la maturubai . Uislamu umeanza miaka mia sita baada ya Ukristo kuanzia pale Antiokia. Wakati wa Musa, Uislamu haukuwepo, ila waarabu (wamidiani) walikuwepo na walikuwa wakiabudu miungu.
Uislamu ulikuwa toka ,Adam,ndio maana waislamu wannamini Mitume kuanzia Adam ,mpaka Yesu.Mtime Muhammad sio mwanzilishi wa uislamu,yeye ni muenelezaji wa uislamu,uliokuwako,na akausakbaza dunia nzima.
 
wanakupotezea muda.. waulize Musa alizaliwa kipindi gani na uislamu umeanza lini? ni kama mashariki na kusini.. usipoteze muda wako kubishana na wanywa kahawa na stori zao.
Uislamu umeanza toka Adam,kabla hata Musa, hajazaliwa,ndio ukaona waislamu wanaamini kitume yote, kuanzia Adam mpaka Yesu, na vitabu vyote, kuanzia Zaburi,Taurati,Injili ,na Taurati ni kitabu cha Musa, bila kuiamini Taurat na Musa, uislamu haujakamilika wa anayeamini.
 
Back
Top Bottom