Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Kamba za hadithi tu hizo. Musa hakuwa muislam.
Na hao wengine wote walikuja kiwa wayahudi. Yesu mwenyewe alikuwa mnmyahudi. Sema mashekh wanawadandanya huku hawana proof
Sawa kweli wee noti guy.... Siye tumeridhika na tumeAmini na tumeSadiki Vitabu vyote na mitume wote na Qibla yetu na Allah mmoja..
usijali kwa hilo!!
 
Musa alikuwa Muisraeli tena wa uzao wa Lawi ambao ndiyo waliokuwa makuhani katika hekalu la maturubai . Uislamu umeanza miaka mia sita baada ya Ukristo kuanzia pale Antiokia. Wakati wa Musa, Uislamu haukuwepo, ila waarabu (wamidiani) walikuwepo na walikuwa wakiabudu miungu.

Wakati wa Musa uislam haukuwepo
Haya tufahamishe wewe sasa uliekuwepo
 
wanakupotezea muda.. waulize Musa alizaliwa kipindi gani na uislamu umeanza lini? ni kama mashariki na kusini.. usipoteze muda wako kubishana na wanywa kahawa na stori zao.
Hahahaaa! Uongo haujawahi kudumu. Yaani jamaa alishadanganywa mpaka akapata frustration.
 
Mussa alikuwa ni muislam,, na amezungumzwa kwenye qurain,, na hata kitabu alichopewa na MUNGU torati pia Kimezungumzwa kwenye qurain,, TORATI ya MUSSA,, ZABURI ya DAUD,, INJILI ya ISSA,, (YESU) FURQAIN ya MUHAMMAD (SAW) hivyo ndivyo ilivyozungumzwa,,, na MUSSA alikuwa ni MYAHUDI hakuwa MUARABU,,,
Kati ya uislam na Musa kipi kilianza?
 
Uislamu ulikuwa toka ,Adam,ndio maana waislamu wannamini Mitume kuanzia Adam ,mpaka Yesu.Mtime Muhammad sio mwanzilishi wa uislamu,yeye ni muenelezaji wa uislamu,uliokuwako,na akausakbaza dunia nzima.
Changanya na zako. Ndo kiki zenu siku hizi? Kwa hiyo wakati Ukristo unaanza wenyewe ulikuwa wapi?
 
Musa alikuwa ni Mlawi mojawapo ya makabila 12 ya Israel ama mwebrania wakiwa misri.
 
Uislamu umeanza toka Adam,kabla hata Musa, hajazaliwa,ndio ukaona waislamu wanaamini kitume yote, kuanzia Adam mpaka Yesu, na vitabu vyote, kuanzia Zaburi,Taurati,Injili ,na Taurati ni kitabu cha Musa, bila kuiamini Taurat na Musa, uislamu haujakamilika wa anayeamini.
Chaka hilo unatupeleka na sisi kama ulivyopelekwa wewe.
 
This
Huo Upumbavu wako acha kuaminisha wengine
is 100% truth. Ni afadhali uuamini na uchukue hatua kuliko kushikilia kejeli ulizorithishwa na waamini mashetani na majini mwisho ukutane na Yesu mbele ya hukumu. Maana imeandikwa, mbele ya yesu Kila goti litapigwa. Shauri lako
 
Back
Top Bottom