hata mimi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,356
- 1,442
Hivi kumbe Mussa ndo Yesu sikuhiziYesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe Mussa ndo Yesu sikuhiziYesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Achana na Mimi wewe muamini picha na Sanam la mtu ambaye yupo hai hadi leo hapa duniani tunajadili ya maana unakurupuka kujidai mfia dini wakati hata dini yenyewe huijui, sitaki kujibizana na weweInaonekana utauliza ujinga.
Yule sio mwana wa Mungu bali alikuwa ni nabii kama wengineKwani wewe unajua kuwa mwana wa MUNGU kivipi?
Usitoke povu kama una uhakika na kile unachokiamini. Kama wewe unaamini hizo picha za mtu unayemsema wewe usifikiri na mimi namwamini. Jibu kwa hoja.Achana na Mimi wewe muamini picha na Sanam la mtu ambaye yupo hai hadi leo hapa duniani tunajadili ya maana unakurupuka kujidai mfia dini wakati hata dini yenyewe huijui, sitaki kujibizana na wewe
Baba yake nani? Maana hapo ndipo mnapojichanganya. Ukiwa mpingaji, utapinga kila kitu. Mafundisho mengine shida sana.Yule sio mwana wa Mungu bali alikuwa ni nabii kama wengine
Yesu???? afadhari yake ana mama je Adam na ever ?Baba yake nani? Maana hapo ndipo mnapojichanganya. Ukiwa mpingaji, utapinga kila kitu. Mafundisho mengine shida sana.
Wala hatutaki kuwagawia akili hii ya kujua Yesu ni Mwana wa MUngu. Kaa na ujinga wako umelishwa na hao waliokufundisha kuwa mbishi. Wala usimuamini, kaaa huko huko uendelee kukaa na upotevu ulio nao Maana tayari umekwisha hukumiwa.Unataka kutuaminisha ujinga wako.
Hivi anayejichanganya nani hapo? Adam hana baba wala mama kwa nini asiitwe Mungu? Eva (Hawa) hana mama kwa nini asiitwe Mungu? Tena hao hawakuzaliwa kwa njia ya kawaida, leo uje umuite aliyezaliwa kwa njia ya kawaida Mungu au mwana wa Mungu hovyo kabisa wewe. Vitu vingine sio mpaka ushikwe sikio. 'Unajifanya wewe mpanguaji hoja za wadau kumbe huna lolote, usiingilie imani za watu na wala usilazimishe wote wakufuate wewe, baki na imani yako na wengine tubaki na zetu.Baba yake nani? Maana hapo ndipo mnapojichanganya. Ukiwa mpingaji, utapinga kila kitu. Mafundisho mengine shida sana.
Kama ni nabii tu kwa nini yeye ndiye pekee atakaye uhukumu ulimwengu siku ya kiama.Soma Quran ,soma Biblia ujiulize hilo swali.Kwa nini sio Musa,Kwa nini sio Isaya au Mohammed ??Yesu???? afadhari yake ana mama je Adam na ever ?
Huo ni uwezo wake muumba na Yesu ni nabii tuu
Sheikh unalizia elimu kubwa ! Ila kifupi tu nikujuze kuwa Muhammad anaambiwa ndani ya Qur'an kuwa ameusiwa dini ile ile aliyousiwa Musa, Issah (Yesu) Nuhu, Ibrahim na Manabii wote, waliotajwa na wasio tajwa.Nipe andiko linalosema alikua muislam,nitajie nguzo tano za uislam halafu niambie musa ilitimiza ipi.halafu hapo ulipoandika furqain utuambie ulikua unamaanisha nini
Wewe unaye kataa imeandikwa wapi ?Imeandikwa wapi
Wewe jamaa mbona umepoteaa, tumia hata akili ya kawaida.Kama ni nabii tu kwa nini yeye ndiye pekee atakaye uhukumu ulimwengu siku ya kiama.Soma Quran ,soma Biblia ujiulize hilo swali.Kwa nini sio Musa,Kwa nini sio Isaya au Mohammed ??
Muislaam wa kwanza ni Adam (Nabii Adam AS). Ni kwa mujibu wa Qur'an na mafundisho ya Kiislaam na si kwa mujibu wa tuition' za Sunday school or kipa imara.Alie wadanganya aliwadanganyia chooni..!
soma historia ya Dini ya kiislam.. ilianza lini.? Nani alikuwa muanzilishi wake ? Ilikuwaje mpaka akaanzisha huo uislam..
yaweza kukufanya ukawa na uelewa wa kutosha.
Kaanan ! ....punguza kuimba mapambio !Kama Israeli sio nchi ,basi nchi yao ilikua inaitwaje??
Sasa mbona kuna watu wanasema alikuwa Muislam
Abram, alipoitwa na Mungu ( Mungu anayeelezwa katika Biblia), atoke katika nchi ya kwao aende nchi atakayoambiwa , alikuwa akiamini katika Mungu aliye hai na si miungu. Mwanza 13:18. Abram akamjengea Bwana(MUNGU) madhabahu katika mialoni ya Memre.Abraham alikuwa anaamini katika dini gani?
Muislaam wa kwanza ni Adam AS, kwa mujibu wa Qur'an, na si kwa jinsi utakavyo wewe ! Hivyo binaadamu woote ni Waislaam mpaka wewe Saint Ivuga ...wewe umeasi tuu !wanakupotezea muda.. waulize Musa alizaliwa kipindi gani na uislamu umeanza lini? ni kama mashariki na kusini.. usipoteze muda wako kubishana na wanywa kahawa na stori zao.
Muislaam wa kwanza ni Adam AS, kwa mujibu wa Qur'an, na si kwa jinsi utavyo wewe ! Hivyo binaadamu woote ni Waislaam mpaka wewe Saint Ivuga ...weweumeasi tuu !wanakupotezea muda.. waulize Musa alizaliwa kipindi gani na uislamu umeanza lini? ni kama mashariki na kusini.. usipoteze muda wako kubishana na wanywa kahawa na stori zao.
Miaka mitatu baada ya Bw. YESU kupaa mbinguni. Kanisa la kwanza la Wakristo lilianzishwa pale mji wa Antiokia.Na ukristo umeanza lini?