Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Abram, alipoitwa na Mungu ( Mungu anayeelezwa katika Biblia), atoke katika nchi ya kwao aende nchi atakayoambiwa , alikuwa akiamini katika Mungu aliye hai na si miungu. Mwanza 13:18. Abram akamjengea Bwana(MUNGU) madhabahu katika mialoni ya Memre.
Ni dini gani hiyo?
 
Mungu aliye hai ni yupi !? Maana wakiristo mnasemaga Yesu mungu ! Sasa Musa alimuabudu mungu yupi ?
 
Hv kwanini Story za nchi za watu watanzania tunapenda kuzishadadia kwanini tusipambane tuu na hali zetu
 
Yaani muislam au mjewish(mjuda)?

Majibu tafadhili.

Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
Mussa alikuwa Muyahudi, muebrania.

Mussa hakuwa Muislam.

Katika Uislam "SHAHADA" ni jambo la kwanza kabisa.

Shahada ni nini?

Ni kukiri kuwa hakuna Mungu mwingine zaidi ya Allah mmoja asiyefananishwa.

Pia ni kukiri kuwa Muhammad ni mtume wa Allah.

(La ilaha illa -Illahu muhammadun rasulu-illah)

Huwezi kuwa Muislam Abadani bila kutaja hayo maneno kutoka rohoni na kumaanisha.

Je Mussa na Adam waliyatamka hayo maneno?

Je wakati huo wangemkiri vipi Muhammad kuwa mtume wa Allah wakati hata hakuwepo?

Wallah, hawakuwa waislam hao kwani hawakushuhudia kokote.
 
Mungu aliye hai ni yupi !? Maana wakiristo mnasemaga Yesu mungu ! Sasa Musa alimuabudu mungu yupi ?
Musa alimwabudu MUNGU aliye hai ambaye alijitambulisha kama Mungu wa Baba yake Musa, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Osaka, Mungu wa Yakobo. Kutoka 3:6. Musa alipomuuliza Mungu kuwa akamueleze farao ametumwa na Mungu yupi, Mungu alimwambia akaseme ametumwa na MUNGU aitwae "Mimi Niko ambaye Niko".. Kutoka 3:14..
 
Musa hakuwa Muislam kwasababu lukuki:-

- Aliishi kabla ya Uislam uliosambazwa na Muhammad kuwepo

- Hakushuhudia popote pale, na wakati Shahada ndio kwanza inamfanya Bin'adam kuwa muislam.
 
Mussa alikuwa Muyahudi, muebrania.

Mussa hakuwa Muislam.

Katika Uislam "SHAHADA" ni jambo la kwanza kabisa.

Shahada ni nini?

Ni kukiri kuwa hakuna Mungu mwingine zaidi ya Allah mmoja asiyefananishwa.

Pia ni kukiri kuwa Muhammad ni mtume wa Allah.

(La ilaha illa -Illahu muhammadun rasulu-illah)

Huwezi kuwa Muislam Abadani bila kutaja hayo maneno kutoka rohoni na kumaanisha.

Je Mussa na Adam waliyatamka hayo maneno?

Je wakati huo wangemkiri vipi Muhammad kuwa mtume wa Allah wakati hata hakuwepo?

Wallah, hawakuwa waislam hao kwani hawakushuhudia kokote.
Musa na Adam walikiri kwa moyo na kutamka kwa ulimi ya kuwa 'hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja.
(ash'hadu ala illaha ila Allah !)
Wakati wao Muhammad hakuwepo. Hivyo hawawezi kumkiri Muhammad, wakati Manabii wengine bado walikuwa njiani. .....umeona eeh !
 
Musa alimwabudu MUNGU aliye hai ambaye alijitambulisha kama Mungu wa Baba yake Musa, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Osaka, Mungu wa Yakobo. Kutoka 3:6. Musa alipomuuliza Mungu kuwa akamueleze farao ametumwa na Mungu yupi, Mungu alimwambia akaseme ametumwa na MUNGU aitwae "Mimi Niko ambaye Niko".. Kutoka 3:14..
Kwahiyo hapo Mungu hakuwa Yesu !? machomanne
 
Hakukuwa na dini, bali yeye Abram alikuwa akimwabudu Mungu aliye hai(muumba mbingu na nchi.Dini zilizokuwapo wakati huo ni dini za kuabudu miungu kama vile Baal.
Hata kumuabudu Mungu aliye hai ilikuwa ni Dini !
Hivi waungu gani walikuwa wafu mpaka Abraham awe na Mungu aliye hai !?
 
Endeleeni kusumbuana na kubishana na mambo ya kufikirika ambayo hayajawahi kuwepo.ni story tu kama ngano za kiafrica.
 
Musa hakuwa Muislam kwasababu lukuki:-

- Aliishi kabla ya Uislam uliosambazwa na Muhammad kuwepo

- Hakushuhudia popote pale, na wakati Shahada ndio kwanza inamfanya Bin'adam kuwa muislam.
Kuanzia Adam mpaka Yesu walitoa shahada !
Shahada ya Yesu ipo ndani ya Biblia pale Yesu aliposema; wakujue wewe, Mungu wa pekee, na wa kweli, na Yesu uliyemtuma.
Yesu akaendelea kusema; yale uliyonipa (mafundisho ya Mungu Mmoja) nimewapa, na wameshuhudia (shahada) wewe (Mungu) ndiye uliyenituma.
 
Mimi nilikuwa muislamu safi. Niliamua kusoma koran na biblia kwa umakini Sana na kufanya utafiti WA Hali ya juu Sana tena kwa muda mrefu Sana. Nikagundua kuwa uislamu ni hadithi zaidi muhamadi aliikopy na kupest mäandishi mengi toka kwenye biblia na kuyaingiza kwenye biblia. Ukweli waislamu wanakaririshwa uongo mkubwa Sana. Wanaaminishwa mambo ya uongo mkubwa. Ndo mana pia Nikagundua pia mashehe wetu wengi hawajasoma wengi wanakaririshwa tu. Ndipo Nikagundua waislamu wengi wanatetea uislamu kwa Magomvi na mauaji. Nikagundua kuwa muislamu anaweza hubiri ulaya lkn si rahisi mkristo akahubiri bara la Asia lzm atauawa.. Nilipogundua uongo huu WA korani na ubaya na ukatili wa waarabu niliamua kuhama dini hii miaka 20 iliyopita. Hakika uislamu ni dini iliyojaa uongo ukatili ushirikina na waislamu Hawana Hofu ya mungu.
 
Endeleeni kusumbuana na kubishana na mambo ya kufikirika ambayo hayajawahi kuwepo.ni story tu kama ngano za kiafrica.
Walisema wengi kabla yako ! Na wayahudi walimdai Musa awaletee Mungu mbele ya wamuone !
 
Hata kumuabudu Mungu aliye hai ilikuwa ni Dini !
Hivi waungu gani walikuwa wafu mpaka Abraham awe na Mungu aliye hai !?
Waungu walio wafu ni kama Baal, sanamu za kuchonga ,ibada za wafu, mashetani, damons, na waabudu miti(Druids), hao ndio miungu wafu hawawezi kumsaidia anayewaamini kwa vile hawadumu.
 
Mimi nilikuwa muislamu safi. Niliamua kusoma koran na biblia kwa umakini Sana na kufanya utafiti WA Hali ya juu Sana tena kwa muda mrefu Sana. Nikagundua kuwa uislamu ni hadithi zaidi muhamadi aliikopy na kupest mäandishi mengi toka kwenye biblia na kuyaingiza kwenye biblia. Ukweli waislamu wanakaririshwa uongo mkubwa Sana. Wanaaminishwa mambo ya uongo mkubwa. Ndo mana pia Nikagundua pia mashehe wetu wengi hawajasoma wengi wanakaririshwa tu. Ndipo Nikagundua waislamu wengi wanatetea uislamu kwa Magomvi na mauaji. Nikagundua kuwa muislamu anaweza hubiri ulaya lkn si rahisi mkristo akahubiri bara la Asia lzm atauawa.. Nilipogundua uongo huu WA korani na ubaya na ukatili wa waarabu niliamua kuhama dini hii miaka 20 iliyopita. Hakika uislamu ni dini iliyojaa uongo ukatili ushirikina na waislamu Hawana Hofu ya mungu.
Ila hukuona Biblia ni ya kukopi na kupesti ?!
Maana Biblia haijulikani ni Kitabu cha nani (zaburi - Daudi, Injil - Yesu, Tourat - Musa, Qur'an - Muhammad)
Biblia imejaza vitu chungumzima mpaka barua (waraka)
Bado hiyo hiyo Biblia haina Injil ya Yesu. Kuna ya Marko, Luka, Yohana na Mathayo.
Ukiipata Injil ya Yesu, unitag fasta.
Soma; Luka; 1:1-2.
 
Waungu walio wafu ni kama Baal, sanamu za kuchonga ,ibada za wafu, mashetani, damons, na waabudu miti(Druids), hao ndio miungu wafu hawawezi kumsaidia anayewaamini kwa vile hawadumu.
Na Yesu alipofia msalabani ilikuwaje !? Alikuwa mungu mfu ? Vipi misalaba na mapicha na masanamu yaliyojazana ndani ya makanisa, wale si waungu wafu ?
 
Walisema wengi kabla yako ! Na wayahudi walimdai Musa awaletee Mungu mbele ya wamuone !
Ni uongo tu hata hiyo story ya Musa ni wa uongo Misri kwenyewe hakujawahi kuwepo ushahidi wa Wayahudi sijui Waisraeli kuwepo huko.

Sasa kama hyskosy ambao ni alieni kutoka Caucasus inajulikana waliwahi kutawala Misri howcome Wayahudi wasijulikane wala ushahidi usiwepo.

Endeleeni kukariri hadithi za Waarabu na Wayahudi.

Ila hata nikirudi kwenye topic yenu kwa kujitoa ufahamu Musa alikuwa Muisraeli aliyefuata dini ya kisraeli ndiye mwandishi wa Torati ambayo ndio msingi wa dini hiyo.
 
Ni uongo tu hata hiyo story ya Musa ni wa uongo Misri kwenyewe hakujawahi kuwepo ushahidi wa Wayahudi sijui Waisraeli kuwepo huko.

Sasa kama hyskosy inajulikana waliwahi kutawala Misri howcome Wayahudi wasijulikane wala ushahidi usiwepo.

Endeleeni kukariri hadithi za Waarabu na Wayahudi.

Ila hata nikirudi kwenye topic yenu kwa kujitoa ufahamu Musa alikuwa Muisraeli aliyefuata dini ya kisraeli ndiye mwandishi wa Torati ambayo ndio msingi wa dini hiyo.
Hata utumwa haukuwepo na vita vya maji maji, ni stori tu !
 
Back
Top Bottom