Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Tofauti iliyopo hapa ni kuwa Muislamu ana amini Mitume na Manabii wote Kuanzia kwa Adam Mpaka kwa Mtume Muhammad pamoja na vitabu vyote walivyo kuja navyo Mitume na Manabii.

Lakin wakristo hawaamini hivyo. Hiyo ndio tofauti kubwa mno. Na mtu asie Amini Mitume na Manabii wa Allah si Mwislamu ata Chembe.

Ewe Muislamu acha kubishana na hawa watu ata uwaambie vipi hawato elewa ata kidogo maana hawako katika kujifunza bali katika ubishi. Hivyo Muislamu usijibizane na hawa watu mwishowe watamziaki Allah na Mitume wake.

Acheni we kaa kimya tu.! In Shaa Allah. Na Allah ni Mjuzi Zaidi.
 
Kwa mujibu wa kamusi.. Neno Dini ni utaratibu wa binadamu kumtafuta Mwenyezi Mungu..ama Nguvu iliyo zaidi ya Nguvu zote.
utaratibu huu hutofautiana kati ya jamii na jamii ama kiutamaduni au kijiografia.

MUSSA.
ni zao la wana wa Israel walioingia Misri kipindi kulipokuwa na njaa Kanaani. Ambapo mdogo wao Yusufu alikuwa amenunuliwa na Farao.!
Watu hawa walikabidhiwa eneo lao kwa ajili ya makazi yao likiitwa Gosheni.. walikuwa wanazaliana sana (kama wapemba) jokes.
Nafsi zilizoingia Misri zilikuwa 70. Ukijumlisha watoto 12 wa Yakobo (Israel) na walio ambatana nao. Kutoka 1:1-7.
ili kudhibiti ongezeko la uzao wao wazalishaji Shifra na Pua wakapewa mission ya kuwaua watoto wote wa kiume wanaozaliwa na Wana wa Israel (waebrania.) Walikuwa Wakimcha Mungu. Wa Israel..
Kutoka 2:1-5. Inaeleza habari za Musa alizaliwa na Mtu kutoka Nyumba ya Lawi... Ambaye ni Mzaliwa wa Tatu wa Yakobo Israel akiwa amefuata baada ya Ruben na simeon. Kwenye uzao wa Lea.
hivyo Mussa alikuwa ni Muisrael au Muebrania.. aliemuabudu Mungu wa Israel. Aliemtokea wakati akienda nyumbani kwa Rabani. MUNGU HUYU ANAITWA JEHOVA ALFA NA OMEGA.!
Hujajibu swali Ama kwa makusudi au umekwepa,hiyo dini aliekuwa anaabudu mussa ilikuwa inaitwa je? Karibia dini zote zima majina,kama hujui Basi kubali to alikuwa muislam
 
This

is 100% truth. Ni afadhali uuamini na uchukue hatua kuliko kushikilia kejeli ulizorithishwa na waamini mashetani na majini mwisho ukutane na Yesu mbele ya hukumu. Maana imeandikwa, mbele ya yesu Kila goti litapigwa. Shauri lako
Acha kuniambia Upumbavu ulio kichwani mwako, eti kila Goti litapigwa mbele ya Yesu. Huo Ujinga wadanganye wenzako sio mm.
 
This

is 100% truth. Ni afadhali uuamini na uchukue hatua kuliko kushikilia kejeli ulizorithishwa na waamini mashetani na majini mwisho ukutane na Yesu mbele ya hukumu. Maana imeandikwa, mbele ya yesu Kila goti litapigwa. Shauri lako
Ujinga kweli ni mzigo. Yaani aliko anajua anadanganywa lakini limeng'ang'ania tu.
 
Tofauti iliyopo hapa ni kuwa Muislamu ana amini Mitume na Manabii wote Kuanzia kwa Adam Mpaka kwa Mtume Muhammad pamoja na vitabu vyote walivyo kuja navyo Mitume na Manabii.

Lakin wakristo hawaamini hivyo. Hiyo ndio tofauti kubwa mno. Na mtu asie Amini Mitume na Manabii wa Allah si Mwislamu ata Chembe.

Ewe Muislamu acha kubishana na hawa watu ata uwaambie vipi hawato elewa ata kidogo maana hawako katika kujifunza bali katika ubishi. Hivyo Muislamu usijibizane na hawa watu mwishowe watamziaki Allah na Mitume wake.

Acheni we kaa kimya tu.! In Shaa Allah. Na Allah ni Mjuzi Zaidi.
Unataka kutuaminisha ujinga wako.
 
Hujajibu swali Ama kwa makusudi au umekwepa,hiyo dini aliekuwa anaabudu mussa ilikuwa inaitwa je? Karibia dini zote zima majina,kama hujui Basi kubali to alikuwa muislam
Utangulizi wangu.. nimekueleza Dini ni utaratibu wa Binadamu kumtafuta mwenyezi Mungu.. Mussa alitumia utaratibu wa ki Israel.. kumcha Mungu wa Israel kama una majibu yako uliyoyaandaa usitaraji yatafanana na yangu.
 
Back
Top Bottom