Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lako haliko sahihi
Ni sawa na kuuliza hivi Magufuli ni Msukuma au Muislam?
Kwa kuwa inawezekana akawa ni Msukuma pia ni Muislam
Inawezekana Mtu akawa Muarabu lakin pia akawa Myahudi Ila haiwezekani Ukawa Muarabu hapo hapo Ukawa Muisrael
Uarabun ni race lakin Uyahudi ni dini
Ingekuwa Mussa alikuwa muisrael au muarabu
Au Mussa alikuwa Muislam au Myahudi?
MUISLAM ALIYEKUWA ANAABUDU JUMAMOSI (SABATO),SIYO?,FUNGUKA MAWAZO KIDOGO MKUU.Myahudi kiasili.kidini ni muislam.
swali liko sawa tu, Uyahudi unahusika katika mambo matatu kwa wakati mmoja,ni kundi flani la watu(ethnic),ni dini na ni utaifa!
kwa elimu yangu najua wayahudi ni dini na waisraeli wengi ni ni waumini wa dini ya kiyahudi huku wachache wakiwa ni wakristo na waislamSwali lako haliko sahihi
Ni sawa na kuuliza hivi Magufuli ni Msukuma au Muislam?
Kwa kuwa inawezekana akawa ni Msukuma pia ni Muislam
Inawezekana Mtu akawa Muarabu lakin pia akawa Myahudi Ila haiwezekani Ukawa Muarabu hapo hapo Ukawa Muisrael
Uarabun ni race lakin Uyahudi ni dini
Ingekuwa Mussa alikuwa muisrael au muarabu
Au Mussa alikuwa Muislam au Myahudi?
..........huyo mungu alizaa na nani huyo mwanae !?Yesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Leo Jifunze kitu kimoja!
Idadi ya Wayahudi waliopo Marekani ni wengi kuliko waliopo Isarel na hao Wayahudi waliopo America si waisrael!
Ethiopia nayo Ina ma laki ya Wayahudi lakin ni waethiopia!
Isarel inayo Raia wengi tu ambao si Wayahudi!
Kwa hiyo hata Nyerere alikuwa mwanachama wa ACT WazalendoSasa mbona kuna watu wanasema alikuwa Muislam
Muisrael ni Yacob tu. Lile jina alilopewa ni Tittle kwake tu. Kama vile Kristo ndio maana hata wadogo zakeYesu hawakuitwa James Kristo.
Watoto wake walisimama kama wenyewe kwa majina yao. So kwa mimi nadhani watabaki waebrania tu. Na ndio maana hata Kwenye bibble wanaitwa tu watoto wa Israel lakini sio taifa la Israel.
nafahamu yote hayo,hivyo pote ulipotaja na kuweka neno Wayahudi hapo neno Wayahudi stands for a certain ethnic Group bila kujali wako wapi!na ndipo mtoa swali alipouliza.kauliza kama Musa belongs to this ethnic group.Kwa hiyo yuko sahihi,hajauliza myahudi kama dini bali myahudi kama jamii flani ya watu!Ndio maana nikakuambia tunapotaja neno Yahudi linaweza kuwa na maana kama kundi flani la jamii ya watu,dini au utaifa.Naamini umenielewa.
Sema wewe sasa Musa alikuwa dini ganiAlie wadanganya aliwadanganyia chooni..!
soma historia ya Dini ya kiislam.. ilianza lini.? Nani alikuwa muanzilishi wake ? Ilikuwaje mpaka akaanzisha huo uislam..
yaweza kukufanya ukawa na uelewa wa kutosha.
Una ushahidi.?MUISLAM ALIYEKUWA ANAABUDU JUMAMOSI (SABATO),SIYO?,FUNGUKA MAWAZO KIDOGO MKUU.
Hayo ni Mazoea na wengi wamezoea hivyo Kama Wewe ulivyozoea Ila sio sahihi
Ni sawa na Mtu akiambiwa African haraka haraka akawaza ni Black hayo ni Mazoea lakin pia sio sahihi Ila hulazimishwi kuacha Mazoea yako.
Kwa mujibu wa kamusi.. Neno Dini ni utaratibu wa binadamu kumtafuta Mwenyezi Mungu..ama Nguvu iliyo zaidi ya Nguvu zote.Sema wewe sasa Musa alikuwa dini gani
Kweli vyuma vimekaza.Uislamu umeanza toka Adam,kabla hata Musa, hajazaliwa,ndio ukaona waislamu wanaamini kitume yote, kuanzia Adam mpaka Yesu, na vitabu vyote, kuanzia Zaburi,Taurati,Injili ,na Taurati ni kitabu cha Musa, bila kuiamini Taurat na Musa, uislamu haujakamilika wa anayeamini.
Shukran kwa Darsa lenye usaqa wa vitabu na mitume wa Mwenyeezi Mungu...Uislamu umeanza toka Adam,kabla hata Musa, hajazaliwa,ndio ukaona waislamu wanaamini kitume yote, kuanzia Adam mpaka Yesu, na vitabu vyote, kuanzia Zaburi,Taurati,Injili ,na Taurati ni kitabu cha Musa, bila kuiamini Taurat na Musa, uislamu haujakamilika wa anayeamini.