Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Mussa alikuwa Muisrael. Anatokana na uzao wa Yakobo. Yakobo na wanae walipohamia Misri kukimbia njaa Kanaan.
Muisrael ni Yacob tu. Lile jina alilopewa ni Tittle kwake tu. Kama vile Kristo ndio maana hata wadogo zakeYesu hawakuitwa James Kristo.
Watoto wake walisimama kama wenyewe kwa majina yao. So kwa mimi nadhani watabaki waebrania tu. Na ndio maana hata Kwenye bibble wanaitwa tu watoto wa Israel lakini sio taifa la Israel.
 
Back
Top Bottom