KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Yesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.Yaani muislam au mjewish?
Majibu tafadhili.
Umeelizwa musa wewe unamuelezea yesu... UMETOROKA MILEMBE SI BUREYesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeelizwa musa wewe unamuelezea yesu... UMETOROKA MILEMBE SI BURE
Huhuuuuuuu am sorry kama MUSA naweza sema ni myahudi alizaliwa uhamishoni misri japo alilelewa katika mazingira ya kifalme pale. Alitumika kuja kuwakomboa wayahudi wakiwa misri.Umeelizwa musa wewe unamuelezea yesu... UMETOROKA MILEMBE SI BURE
vyuma babaUmeelizwa musa wewe unamuelezea yesu... UMETOROKA MILEMBE SI BURE
Ok basi sawa hapa umeeleweka, asanteHuhuuuuuuu am sorry kama MUSA naweza sema ni myahudi alizaliwa uhamishoni misri japo alilelewa katika mazingira ya kifalme pale. Alitumika kuja kuwakomboa wayahudi wakiwa misri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkulu alisema tutie grisi.... Ila nyie mambo magumu sana aiseevyuma baba
[emoji28] [emoji28]Umeelizwa musa wewe unamuelezea yesu... UMETOROKA MILEMBE SI BURE
Ni mfia DiniUmeelizwa musa wewe unamuelezea yesu... UMETOROKA MILEMBE SI BURE
mkulu anasema ulizoea kupiga na ukisema vyuma vimekaza ukamatwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkulu alisema tutie grisi.... Ila nyie mambo magumu sana aisee
Ni kitu kibaya sanaNi mfia Dini
WAAFRIKA WENGI TUPO HIVYO NA INATUGHARIMU UKIINGALIA VIZURI[emoji28] [emoji28]
Watu wana mihemko so bure,anaulizwa kingine anajibu kingine
ANAKERA SANAmkulu anasema ulizoea kupiga na ukisema vyuma vimekaza ukamatwe