Mkubwa ndevu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,045
- 358
Kabla hujabisha kwa kasome maana ya neno ISLAMwanakupotezea muda.. waulize Musa alizaliwa kipindi gani na uislamu umeanza lini? ni kama mashariki na kusini.. usipoteze muda wako kubishana na wanywa kahawa na stori zao.
Diamond amepotoka na wala si kiigizo cha Waislaam. Ameipenda Dunia kama wakiristo. Kiislaam ni dhambi na kufuru kumuamba Mungu ili ufanye dhambi. Yaani unashukuru Mungu kwa kuzini, kunywa bia au kuiba.Kwahiyo mkristo ni kila mtu anayeomba kikristo??? Kwahyo diamond anavyopiga sala kabla hajapanda stejini kucheza na mabinti nusu uchi naye tumtumie kukashifu uislam???
Mada mtaichafua kuingiza udini.... Tupo hapa kuelemishana sio kuchafuana
Yes kama ambavyo diamond unasema amepotoka basi hao nao wamepotoka sasa kwanini uchukulie mfano wa mtu mmoja kuwakilisha dini??Diamond amepotoka na wala si kiigizo cha Waislaam. Ameipenda Dunia kama wakiristo. Kiislaam ni dhambi na kufuru kumuamba Mungu ili ufanye dhambi. Yaani unashukuru Mungu kwa kuzini, kunywa bia au kuiba.
Mhhhhhhh uongo huu......Musa alikuwa Muisraeli tena wa uzao wa Lawi ambao ndiyo waliokuwa makuhani katika hekalu la maturubai . Uislamu umeanza miaka mia sita baada ya Ukristo kuanzia pale Antiokia. Wakati wa Musa, Uislamu haukuwepo, ila waarabu (wamidiani) walikuwepo na walikuwa wakiabudu miungu.
Vipi hawa wanamuomba Yesu !Yes kama ambavyo diamond unasema amepotoka basi hao nao wamepotoka sasa kwanini uchukulie mfano wa mtu mmoja kuwakilisha dini??
Huyo nabii tito ni lini amekuwa mkristo?? Au kuvaa kola kunamfanya
....sasa wazungu wanakuwaje waarabu ? .....akili zingine hizi !Aya ni mawazo yako
Nimekuuliza ki2 kimoja2
Wazungu ni waarabu???
Wap unapofushwa usijue hao akina Tito na wengine kama hao kuwa wamepotoka na wameasi mafundisho ya kikristo !!unatakiwa kuukosoa ukristo kwa maandiko na mafundisho yake ya asili sio matendo maovu ya binaadam watumiao maandiko vibayaDiamond amepotoka na wala si kiigizo cha Waislaam. Ameipenda Dunia kama wakiristo. Kiislaam ni dhambi na kufuru kumuamba Mungu ili ufanye dhambi. Yaani unashukuru Mungu kwa kuzini, kunywa bia au kuiba.
Mafundisho ya kusema Mungu ana mwana wewe unayaona hayana upotofu !? Yaani mungu azae na wewe uzae !?Wa
Wap unapofushwa usijue hao akina Tito na wengine kama hao kuwa wamepotoka na wameasi mafundisho ya kikristo !!unatakiwa kuukosoa ukristo kwa maandiko na mafundisho yake ya asili sio matendo maovu ya binaadam watumiao maandiko vibaya
Uyahudi sio kabila bali ni dini.Yaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
Yesu ni Mwana wa Mungu halafu kaja duniani kwa umbo labinadamu??????????Yesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Sio wakristo hao ni wahuni tu flani ila mkristo au muislam hawezi kumuomba Mungu kwenda kucheza uchi maana hakuna sehemu kwenye biblia ama quran inaruhusu hayoVipi hawa wanamuomba Yesu !
Mussa hakuwa myahudi bali muisrael.Huhuuuuuuu am sorry kama MUSA naweza sema ni myahudi alizaliwa uhamishoni misri japo alilelewa katika mazingira ya kifalme pale. Alitumika kuja kuwakomboa wayahudi wakiwa misri.
Hayana upotoshaji na sio ukristo tu hata dini za kale za misri zina miungu WALIOKUWA NA WANA....kuanzia King horus pia ukisoma Sumerian empires utagundua nao miungu kma Gilgamesh ilizaa mtoto bila kusahau greek mythology miungu kama Zeus na Cronus ilikuwa na watoto so sio dili Miungu kuongelea kuhusu KUWA NA WANA unapoongelea dini nyingi zilizoanzia mashariki ya katiMafundisho ya kusema Mungu ana mwana wewe unayaona hayana upotofu !? Yaani mungu azae na wewe uzae !?
Ati kunywa divai/mvinyo ndo unakunywa damu ya Yesu !
Ati Yesu alikufa kifo cha laana ili atukomboe !
Si kazi yangu kutambua au kutotambua, ila huwezi kukuta utani huo katika Uislaam. Ndio maana Salman Rashidie mpaka leo yupo mafichoni na Kitabu chake cha 'aya za shetani' kimesahaulika.Sio wakristo hao ni wahuni tu flani ila mkristo au muislam hawezi kumuomba Mungu kwenda kucheza uchi maana hakuna sehemu kwenye biblia ama quran inaruhusu hayo
Kama ambavyo diamond haumtambui basi na hawa wanaojiita wakristo usiwatambue
Alikuwa muebraniaMussa hakuwa myahudi bali muisrael.
Kwa hiyo ukiristo ni sawa na dini za kale, kuwa na wenyewe mungu wao ana mwana ambaye with time anageuka kuwa mungu !Hayana upotoshaji na sio ukristo tu hata dini za kale za misri zina miungu WALIOKUWA NA WANA....kuanzia King horus pia ukisoma Sumerian empires utagundua nao miungu kma Gilgamesh ilizaa mtoto bila kusahau greek mythology miungu kama Zeus na Cronus ilikuwa na watoto so sio dili Miungu kuongelea kuhusu KUWA NA WANA unapoongelea dini nyingi zilizoanzia mashariki ya kati
Huu uzi sio wa kidini msiuchafue kila mtu aheshimu imani ya mwenzake kma wwe unaona Mungu kuwa na mwana ni upotoshaji basi sawa acha wapotoke maana wakristo nao wakianza humu watasema madai ya Quran imetoka kwa Mungu ni upotoshaji je kutakalika
Kila mtu aamini anachoweza mwisho wa siku duniani tunapita so baada ya kifo kila mtu atajua mbivu na mbichi ila kusema wenzako wanapotosha sioni kama ina mashiko
Acha ujinga mara kibao tu Ali kiba na diamond huwa anamshkuru Allah kwa kushinda tuzo tafuta interview zake..... Sasa unashinda tuzo kwa kuimba nyimbo za kuhamasisha ngono kma WAKA-WAKA alafu anamshkuru allah tena hadi akajenga msikiti na amepanga kwenda kuuzinduaSi kazi yangu kutambua au kutotambua, ila huwezi kukuta utani huo katika Uislaam. Ndio maana Salman Rashidie mpaka leo yupo mafichoni na Kitabu chake cha 'aya za shetani' kimesahaulika.
Kichwa cha habari kinamuhusu vipi Muhammad? Mbona unajichanganya? Kwa taarifa tu ni kwamba Mussa na Ibrahim walikuwa waislam. Hata Yesu alikuwa mwislam. Kama hutaki au hupendi chukua kamba ujinyonge!Yaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
Hapana mie sijatetea dini yoyote nachosema hapa ni kukosoa wwe unayedai Mungu kuwa na mwana ni upotoshaji ndio nmekupa mfano wa dini kibao zenye Miungu wenye Wana hivyo not a big deal ila hakuna mahala nimesema ukristo ni sawa na dini za kaleKwa hiyo ukiristo ni sawa na dini za kale, kuwa na wenyewe mungu wao ana mwana ambaye with time anageuka kuwa mungu !
Nyie jamaa watata sana !
Kuna dini ya kweli na dini za uongo, kuna dini ya haki na dini za baatwil, Uislaam umekuja kushinda dini zote !Hapana mie sijatetea dini yoyote nachosema hapa ni kukosoa wwe unayedai Mungu kuwa na mwana ni upotoshaji ndio nmekupa mfano wa dini kibao zenye Miungu wenye Wana hivyo not a big deal ila hakuna mahala nimesema ukristo ni sawa na dini za kale
Kuhusu dini meshasema usiite dini za wenzako wapotoshaji maana wakristo au wayahudi nao wakianza kusema Mtume Muhammad(SAW) alikuwa mtume wa Allah ni upotoshaji au wakisema Quran kushushwa kutoka mbinguni ....malaika jibril kumtokea Mohammad (SAW)ni upotoshaji atakuwa sawa pia??
Tujifunze religious tolerance hata wachina hawaamini uwepo wa Allah wala Mungu nao utasema wapotoshaji kisa tu hawaamini unachoamini??