hiko ni cheo chake cha maisha yaani mpk afe
Kumbe hii CECAFA ni yake kama ilivyo Miss nini vile kwa hapa kwetu
umehama mada kwa uyanga wakoJe unafahamu timu inayoingiza mapato makubwa afrika mashariki ? ni Daresalaam Yanga Africans ,ndio maana hao jamaa hawana raha na kujitoa kwa yanga ,musoye yanga ilikuepo ,ipo na itakuepo milele .Yanga oyeeeeeeee.
nasikia kila mashindano yakifanyikia Tz anaoa mke mwingine
Musonye hana kosa lolote. The man took over CECAFA when it was almost dead. Now Yanga wants to devalue the tournament by sending team B ?
Yanga hakujitoa, Musonye ndio ameiondoa kwa kuleta uswahili simply becoz kikosi cha Yanga anakijua akataka kuwapangia wachezaji wa kwenda Rwanda wakati hata hao waliochaguliwa na Yanga ni kikosi cha kwanza pia na underground watano, mbona timu zingine zimepeleka wachezaji tiu ya vijana na bado zipo kwenye michuanoJe unafahamu timu inayoingiza mapato makubwa afrika mashariki ? ni Daresalaam Yanga Africans ,ndio maana hao jamaa hawana raha na kujitoa kwa yanga ,musoye yanga ilikuepo ,ipo na itakuepo milele .Yanga oyeeeeeeee.