Hivi Musonye anastaafu Lini?

Hivi Musonye anastaafu Lini?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Kwa Jinsi Jamaa alivyowakalia kooni huenda hii ikawa habari nnzuri kwa Wanajangwani endapo watasikia siku Musonye amestaafu

ama badu, ukweli unabakia palepale kwamba huyu jamaa amekaa muda mrefu sana CECAFA tangu nipo form one Tambaza

Hivi hakuna Mtz/EA wa kushika nafasi hii?
 
Musonye hana la maana angepeleka hata timu moja world cup toka wanachama wa CECAFA angekuwa na chakuzungumza
 
sisi binadamu wa nchi hizi za kiafrika tapeli hukaa sana madarakani mkweli huwa hadumu.
Musonye ni taperi la mpira wa miguu africa mashariki
 
toka ametoka mzee Sam Obingo ndio ameshika yeye, wanabadilika wenyeviti lakini yeye mh chezea NYANG'AU!!!!
 
Sepp Blatter naye anastaafu lini?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Je unafahamu timu inayoingiza mapato makubwa afrika mashariki ? ni Daresalaam Yanga Africans ,ndio maana hao jamaa hawana raha na kujitoa kwa yanga ,musoye yanga ilikuepo ,ipo na itakuepo milele .Yanga oyeeeeeeee.
umehama mada kwa uyanga wako
 
Musonye hana kosa lolote. The man took over CECAFA when it was almost dead. Now Yanga wants to devalue the tournament by sending team B ?
 
Musonye hana kosa lolote. The man took over CECAFA when it was almost dead. Now Yanga wants to devalue the tournament by sending team B ?

Wale wale jamii ya mikia fc, hivi unajua wenzio wanajadili kuhusu nini au ulijua hapa pana dibet sio!!!!! kata ya yanga na simba ipi timu bora?????????????
 
Its time he step down for not making good strategy for the CECAFA team to win the higher competitions such Club bingwa Africa or even CAN.
 
Je unafahamu timu inayoingiza mapato makubwa afrika mashariki ? ni Daresalaam Yanga Africans ,ndio maana hao jamaa hawana raha na kujitoa kwa yanga ,musoye yanga ilikuepo ,ipo na itakuepo milele .Yanga oyeeeeeeee.
Yanga hakujitoa, Musonye ndio ameiondoa kwa kuleta uswahili simply becoz kikosi cha Yanga anakijua akataka kuwapangia wachezaji wa kwenda Rwanda wakati hata hao waliochaguliwa na Yanga ni kikosi cha kwanza pia na underground watano, mbona timu zingine zimepeleka wachezaji tiu ya vijana na bado zipo kwenye michuano
 
Back
Top Bottom