Hivi Musukuma anajikuta kama nani kuwatisha wananchi kiasi hicho?

Msukuma huwa anawananga wasomi na spika anamuangalia tu.

nawewe niangalie tu ivyoivyo kama Spika😂
Sawa Mkuu,,
Nakuelewa sana.
Lakini nina imani iko siku, nayo haiko mbali.
Naam siku yaja ambayo Watanzania hawatendelea tena kuwa wajinga na Mazombie kama ulivyotania hapo juu..
Itafikia hatua watasema enough is enough.
Haijalishi kama tutakuwa hai au tumekufa, hiyo siku naiona kabisa, tena ninaiona...
 
Kwa mtu wa elimu ya chini Kujiamini kwake ni jambo kubwa mno kwa msomi wa Kitanzania!
 
Kwa mtu wa elimu ya chini Kujiamini kwake ni jambo kubwa mno kwa msomi wa Kitanzania!
Musukuma ni mnafiki hana lolote.
Anatetea tumbo lake.
Hayuko kwa ajili ya maslahi ya Taifa.
Wakati ule EL hajakatwa, alikuwa swahiba wake mkubwa sana.
Alipoona kakatwa, mara pap, akahamia kwa Hayati JPM.
Ameondoka JPM, mara anaanza kumnanga na sasa yuko bega kwa bega na Sa100.
Akiondoka akaja mwingine, utasikia vijembe vyake vitakavyokuwa!
Mwenyezi Mungu atujalie uhai tu.
Lakini aina ya viongozi kama Musukuma, ni hatari sana kwa usitawi wa Taifa..
 
Ana hela na wewe tafutq hela,kwa vitega uchumi vyake hskuna mbunge anaemzidi kwa hela,kwa nini asiongee anavyotaka,hatq akiwaambia vipi hawakoromi kwa kuwa hawana hela na pia ni mpambanaji
Suala ni hizo hela kazipataje?!
 
Rushwa ni adui kwa ustawi wa taifa letu.
 
Ana hela na wewe tafutq hela,kwa vitega uchumi vyake hskuna mbunge anaemzidi kwa hela,kwa nini asiongee anavyotaka,hatq akiwaambia vipi hawakoromi kwa kuwa hawana hela na pia ni mpambanaji

Ni uwizard plus rushwa ndio unampa confidence ,
Hana hela ya mbunge wa gairo
 
Serikali ya Zambia walizuia chakula kisitoke nje,sababu kuu ni ikitokea chakula kikapanda bei vurugu zitaibuka.

Serikali ya Zambia inawajua vizuri raia wake,pia serikali ya Tanzania inawajua vema raia wake ni wapole,wajinga,wana njaa,wabinafsi wapigaji na wala rushwa.

nani wakuondoa izo
Ili tutoboe nani wakuondoa hizi.
👇

Ujinga.
Upigaji/Rushwa na wizi.
Njaa.
ubinafsi.
 
Namuhakikishia Musukuma kama kuna kitu kapokea, basi kitamtokea puani siku moja. Ni suala la muda tu. Time will tell.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuhakikishia Musukuma kama kuna kitu kapokea, basi kitamtokea puani siku moja. Ni suala la muda tu. Time will tell.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mheshimiwa msukuma ana PhD na siyo ya jalalani, ya nje.
Kwa maana hiyo Dr. Msukuma ana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchakata mambo mazito kuliko watanzania zaidi ya 50m.
 
Lakini mheshimiwa msukuma ana PhD na siyo ya jalalani, ya nje.
Kwa maana hiyo Dr. Msukuma ana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchakata mambo mazito kuliko watanzania zaidi ya 50m.
Wengine sijui mnatumiaga mechanism zipi kufikiria!
 
Ukipata mali bila elimu ni sawa na kupata mali uzeeni. Nyodo na mbwembwe nyingi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…