Hivi Musukuma anajikuta kama nani kuwatisha wananchi kiasi hicho?

Ukiweka na na kale ka- PhD kake ka mchongo ndo basi kabisa!
Imefikia mahali anajiona yeye ni "first class citizen"
Halafu anavyowananga wasomi sikutarajia naye atafute PHD feki, lengo ni kujinasibisha na usomi pia!!! Hahahah.....
 
Yule dogo sio wa kumjadili tutajiaibisha hapa kwenye jukwaa la great thinkers.Watu kama wale AKILI hakuna,yaani ni maskini wa AKILI,ndio tuanze kujadili hao, hapana.
 
Roho ya awamu ya 5 inafanya kazi ndani yake.
 
Ukipata mali bila elimu ni sawa na kupata mali uzeeni. Nyodo na mbwembwe nyingi!!!
Hebu weka mifano miwili ya hao madingi wenye nyodo baada ya kupata mkwanja wa uzeeni.
 
Waliomtuma huyo ngumbaru kwenda kwenye vyombo vya habari kutema shudu ndo wenye matatizo. Yaani msukuma na elimu ya la saba ndo akajenge hoja na kupangua hoja kinzani zilizoibuka kwenye mjadala wa bandari.......bila shaka ndo maana elimu inachezewa sana kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…