Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni kweli kwamba kama pambano lile lingemalizika kwenye round ile , bila shaka Mwakinyo angeshinda kwa points , maana alipeleka ngumi nyingi za maana kwa mpinzani wake.
Lakini kilichonishangaza ni kitendo cha mwamuzi kumaliza pambano wakati bado Indongo yuko imara, hii kwa mnaojua ngumi mnadhani sababu ni nini hasa?
Lakini kilichonishangaza ni kitendo cha mwamuzi kumaliza pambano wakati bado Indongo yuko imara, hii kwa mnaojua ngumi mnadhani sababu ni nini hasa?