Hivi Mwakinyo amepataje ile KO?

Hivi Mwakinyo amepataje ile KO?

Jamani boxing ina kanuni zake
Boxing ni BURUDANI na sio kuuana
Kama bondia anapigwa ngumu mfululizo bila majibu na amepoteza balance ni wajibu wa refarii kumaliza pambano, na sio kusubiri hadi bondia apate kipigo cha mbwa koko ndio amalize pambano.........hii sio vita
Maamuzi ya refa ni pamoja na kujaribu kuzuia maximum damage kwa bondia pindi anapokosa balance anaposhambuliwa

Waswahili walisemaga Nabii hakubaliki kwao
Watu wanahoji ujinga mwingi sio kwasababu wameona kwa hakika refarii kampendelea Mwakinyo.......HAPANA
Wanahoji kwa sababu hawaamini kama Mtz annaweza kuwa bondia bora kwa level aliofikia Mwakinyo

Unapo angalia kitu kwa jicho la husuda, chuki, visasi hakika utaona kile tu unachokitaka........NEGATIVITY

Wengi wana muhukumu Mwakinyo kwa tambo zake lakini ukweli utabakia kuwa Mwakinyo ni BORA kwa alipofikia sasa, na sio kwasababu kabebwa au kaletewa bondia mchovu. .....UWEZO

Kuna watu wanachotaka wao ni Mwakinyo APIGWE TU ili wa mprove wrong kwasababu ya maneno yake ya tambo
Kama usemayo ni kweli ni vema Bondia wetu bora akapambana na twaha kiduku au na kidunda.
Simba na yanga kwa ukubwa zake lakini bado hucheza mechi na timu ndogo. Kwa mwakinyo anakataa kucheza pambano moja na hawa ndugu zake kwa ajili ya kuwapa uzoefu?
Anaogopa nini bingwa wetu?
Kuna jambo na siri gani mwakinyo anaificha nyuma ya mapambano na wageni anaowaalika?

Nampongeza kwa kushinda kwake pambano la jana usiku lkn pamoja na pongezi zangu ananiangusha kuogopa kucheza na watu wa nyumbani..

Katika pre season hii alhaly ya misri imecheza mechi nyingi na timu mpaka ya daraja la kwanza. Simba ilifungwa na timu ya daraja la kwanza kutoka kigoma na kutolewa kwenye FA na bado simba na alhaly ni timu kubwa na zakuogopesha.
 
Katika pre season hii alhaly ya misri imecheza mechi nyingi na timu mpaka ya daraja la kwanza. Simba ilifungwa na timu ya daraja la kwanza kutoka kigoma na kutolewa kwenye FA na badsimba na alhaly ni timu kubwa na zakuogopesha.
Umemaliza mwendo wa huu uzi mkuu
 
Mwakinyo sasa hivi anazungukwa na timu kubwa ya matajiri,haya mapambano wanayanunua mapema kukuza brand..

Uwezo wake wa kupigana mdogo,unaweza kulitambua hilo hata kama wewe sio mtaalam wa ngumi

Haitakuja kutokea kukubali kupigana na Twaha...amalizi raundi 3
Mwakinyo hata huyu dogo Tony rashidi hatii mguu. Yeye aendelee kutembelea upepo wa matajiri tu.
 
Huyo bondia aliyepigana na mwakinyo Julius indongo ni kweli bondia ila alishaacha ngumi Mwaka jana na pambano lake la mwisho kapigwa kwa Ko sio ud napata tabu kidogo na promota wa mwakinyo hiv uzito wa mwakinyo hakuna mabondia wazur mpaka wakatafute mabondia ambao tayar walishaacha na mchezo?lengo ni nini?
IMG_0327.jpg
 
Attachments

  • IMG_0327.jpg
    IMG_0327.jpg
    64.2 KB · Views: 2
Mtoa uzi na wanamsapot wote wshamba na asili yao watu wa kanda ya ziwa na moshi au arusha

Mna chuki binafsi kisa ni mtu wa tanga kaaeni mtulie ngumi hamjui fuatilia pambano

Kaangalie la salim mtango kule nje TKO iliamuliwa vip
Unatoa povu kwa kuchukia watu mpaka unaingiza watu wasiohusika kabisa. Umejawa na chuki ya bila sababu. Unaonesha wazi kwanza wewe sio mzalendo wa taifai hili wewe ni mbaguzi yaani wewe ni kaburu tu kutoka tanga. Wewe ni zaidi ya mbaguzi katika taifa hili.

Naomba kukuuliza wapi wakosoaji wa mwakinyo walisena wanatoka kanda ya ziwa, Moshi na Arusha? Mbona unakuwa muongo na dhaifu katika kufikiria?

Mbona unataka kuiambia Tanzania kuwa watu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, Moshi na Arusha hawampendi mwakinyo? Je unaushahidi?

Lakini pia unajua unasambaza chuki kwa watu wa asili ya Tanga juu ya watu kanda ya ziwa, Moshi na Arusha?

Huu ni mchezo wa ngumi tambua mchezo huu unatimu kama simba na yanga, mchezo huu unakambi na pande za ushabiki, mtu huchagua upande autakao kwa furaha ya moyo wake katika ushabiki hakuna ukanda, mkoa au wa nyumbani mtu usimlazimishe akufuate utakavyo kisa wewe na mwakinyo ni home boys.

Jenga hoja zenye nguvu na si kulazimisha watu woote wakuunge mkono kile upendacho.
 
Huyo bondia aliyepigana na mwakinyo Julius indongo ni kweli bondia ila alishaacha ngumi Mwaka jana na pambano lake la mwisho kapigwa kwa Ko sio ud napata tabu kidogo na promota wa mwakinyo hiv uzito wa mwakinyo hakuna mabondia wazur mpaka wakatafute mabondia ambao tayar walishaacha na mchezo?lengo ni nini?View attachment 1923097
Kwahyo Debut ndio kuacha ngumi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Watanzania acheni ujuaji

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Unatoa povu kwa kuchukia watu mpaka unaingiza watu wasiohusika kabisa. Umejawa na chuki ya bila sababu. Unaonesha wazi kwanza wewe sio mzalendo wa taifai hili wewe ni mbaguzi yaani wewe ni kaburu tu kutoka tanga. Wewe ni zaidi ya mbaguzi katika taifa hili.

Naomba kukuuliza wapi wakosoaji wa mwakinyo walisena wanatoka kanda ya ziwa, Moshi na Arusha? Mbona unakuwa muongo na dhaifu katika kufikiria?

Mbona unataka kuiambia Tanzania kuwa watu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, Moshi na Arusha hawampendi mwakinyo? Je unaushahidi?

Lakini pia unajua unasambaza chuki kwa watu wa asili ya Tanga juu ya watu kanda ya ziwa, Moshi na Arusha?

Huu ni mchezo wa ngumi tambua mchezo huu unatimu kama simba na yanga, mchezo huu unakambi na pande za ushabiki, mtu huchagua upande autakao kwa furaha ya moyo wake katika ushabiki hakuna ukanda, mkoa au wa nyumbani mtu usimlazimishe akufuate utakavyo kisa wewe na mwakinyo ni home boys.

Jenga hoja zenye nguvu na si kulazimisha watu woote wakuunge mkono kile upendacho.
We ni hater tunawahitaji wajinga Kama wewe ili Mwakinyo apate mzuka zaidi!

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kama usemayo ni kweli ni vema Bondia wetu bora akapambana na twaha kiduku au na kidunda.
Simba na yanga kwa ukubwa zake lakini bado hucheza mechi na timu ndogo. Kwa mwakinyo anakataa kucheza pambano moja na hawa ndugu zake kwa ajili ya kuwapa uzoefu?
Anaogopa nini bingwa wetu?
Kuna jambo na siri gani mwakinyo anaificha nyuma ya mapambano na wageni anaowaalika?

Nampongeza kwa kushinda kwake pambano la jana usiku lkn pamoja na pongezi zangu ananiangusha kuogopa kucheza na watu wa nyumbani..

Katika pre season hii alhaly ya misri imecheza mechi nyingi na timu mpaka ya daraja la kwanza. Simba ilifungwa na timu ya daraja la kwanza kutoka kigoma na kutolewa kwenye FA na bado simba na alhaly ni timu kubwa na zakuogopesha.

Mkuu kwanza unakosea sana kufananisha mpira wa miguu na ngumu.......... tofauti kabisa Al ahal hata akifungwa na ihefu bado atabaki bingwa wa Afrika lakini Mwakinyo akipigwa hata pambano lisilo na mkanda atapoteza mkanda

Kila bondia ana malengo yake ya kwenda juu
Mwakinyo sio kwamba anamdharau Kiduku kwa malengo yake na rekodi zake akipigana na akina Kiduku ana mengi ya KUPOTEZA kuliko KUPATA

Ni risk kubwa sana kuuweka mkanda wako rehani na kuaharibu rekodi yako kwa bondia uliyemuacha mbali sana kirekodi
Kwa namna yoyote ile Kiduku hana cha kupoteza zaidi ya kuongeza lakini Mwakinyo hana cha kuongeza zaidi ya kurisk

Ili kuja kuwa contender wa ubingwa wa dunia ni lazima uwe na rekodi ya kuwapiga mabondia wenye rank za juu........ndicho anachokilenga Mwakinyo kwa sasa na hata wakimpiga haita muathiri sana kama akitokea akapigwa na kiduku....... ngumu hazina adabu

Hata mimi natamani wapigane lakini malengo ya Mwakinyo ni zaidi ya matamanio yetu
 
Mwakinyo sasa hivi anazungukwa na timu kubwa ya matajiri,haya mapambano wanayanunua mapema kukuza brand..

Uwezo wake wa kupigana mdogo,unaweza kulitambua hilo hata kama wewe sio mtaalam wa ngumi

Haitakuja kutokea kukubali kupigana na Twaha...amalizi raundi 3
INSHU KWA MWAKINYO SIO KUPIGANA NA KIDUKU INSHU NI MABONDIA WANAOMCHAGULIA YANI SAWASAWA NA WANAFUNZI KUTUNGA MTIHANI NA KUJISAISHIA WENYEWE .
 
Sasa kwa nini hawako level moja? Wivu wa kichawi, kwanza Twaha kwa Dulla anashinda bahati tu, This time Dulla aina ya mazoezi yalipunguza uzito wa ngumi zake na hata mwili, alipania mazoezi, Mwakinyo sio wa level za local.
 
INSHU KWA MWAKINYO SIO KUPIGANA NA KIDUKU INSHU NI MABONDIA WANAOMCHAGULIA YANI SAWASAWA NA WANAFUNZI KUTUNGA MTIHANI NA KUJISAISHIA WENYEWE .
Ni mapambano mabovu kwa uwezo wenu wa kufikiri, fanyeni hivyo na Twaha Kiduku nae akapigane na bondia wabovu wa nje, kama wapinzania wa mwakinyo ni wabovu sasa iweje awe anapanda ranking? Kuna kupata demu kwa pesa, kuwa na gari, uchawi, kipaji cha flow, kupambika, uhandsome, jina kubwa, na mengineyo njia ya kupaa international ni nyembamba lazima ufuate vigezo na masharti, Mwamba Mwakinyo ngumi za tumbo hazimsumbui kbsa.
 
Back
Top Bottom