Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Kama ni hivo kwanini huwa bench la ufundi inaonyesha taulo sometimes wakati refa yupo?
Mkuu kuna vitu vinapimika bila ubishi lakini kuna vitu inategemea
Kigezo cha msingi ni kwamba bondia anapigwa bila majibu na ameelemewa
Kinachofuata ni mtazamo wa refa kwajinsi anavyoona...... sio sawa na kupima kwamba sasa hii ni kilo moja inatosha au futi
Sasa kama benchi la ufundi wakiona kwa jinsi bambano linavyokwenda bondia wao ataadhirika wanaruhusa ya kurusha taulo
Mara nyingi sana mabondia wanaopingwa kwa style hii huwa hawaridhiki lakini ndio kanuni mkuu