jeipm
JF-Expert Member
- Sep 28, 2018
- 500
- 825
Watapigana vip wakati wapo kwenye rank tofauti na uzito tofautiMkuu kwanza unakosea sana kufananisha mpira wa miguu na ngumu.......... tofauti kabisa Al ahal hata akifungwa na ihefu bado atabaki bingwa wa Afrika lakini Mwakinyo akipigwa hata pambano lisilo na mkanda atapoteza mkanda
Kila bondia ana malengo yake ya kwenda juu
Mwakinyo sio kwamba anamdharau Kiduku kwa malengo yake na rekodi zake akipigana na akina Kiduku ana mengi ya KUPOTEZA kuliko KUPATA
Ni risk kubwa sana kuuweka mkanda wako rehani na kuaharibu rekodi yako kwa bondia uliyemuacha mbali sana kirekodi
Kwa namna yoyote ile Kiduku hana cha kupoteza zaidi ya kuongeza lakini Mwakinyo hana cha kuongeza zaidi ya kurisk
Ili kuja kuwa contender wa ubingwa wa dunia ni lazima uwe na rekodi ya kuwapiga mabondia wenye rank za juu........ndicho anachokilenga Mwakinyo kwa sasa na hata wakimpiga haita muathiri sana kama akitokea akapigwa na kiduku....... ngumu hazina adabu
Hata mimi natamani wapigane lakini malengo ya Mwakinyo ni zaidi ya matamanio yetu
Watakuwa wanapigana kutafuta nini au kushindania nini?
Wapigane eti kwa sababu ya kupata sifa?
Wabongo bwana.......
Hivi nyie mnazijua Sheria za mchezo wa box duniani?